Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
ENGLAND: Akiwa na miaka 27 tu, winga raia wa Nigeria, Victor Moses atangaza kutundika daluga la kuichezea timu ya taifa hilo.
Moses amehitimisha muda wa miaka 6 alioitumikia timu hiyo toka alipocheza mchezo wa kwanza mwaka 2012 ambapo amefanikiwa kucheza Michezo 36 na kufunga mabao 12
Aidha, ameiwakilisha Nigeria au Super Eagles katika michuano miwili ya Kombe la Dunia na kushinda kikombe cha Mataifa huru ya Afrika mwaka 2013
=======
The winger has confirmed his intention to step down from the Super Eagles after earning his first cap in 2012
Chelsea winger Victor Moses has announced his international retirement from Nigeria.
The 27-year-old steps down after playing all three matches for Nigeria at World Cup 2018 in Russia, with the Super Eagles eliminated in the group stage.
Moses ends his international career with 37 caps and 12 goals. He played in two World Cups, and also helped the Super Eagles lift the 2013 Africa Cup of Nations.
Source: Goal.com