Pre GE2025 Victor Tesha karibu jimboni Moshi (V)

Pre GE2025 Victor Tesha karibu jimboni Moshi (V)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Jimbo linahitaji Kiongozi mwenye maono. Nawe Ni mtu sahihi

NB: Victor Tesha ni makamu Rais wa Federation of Miners Association of Tanzania maarufu kama FEMATA na pia ni Managing Director wa Isale Investment Group.

Victor Tesha .png
 
Aiseee


Kila la heri kwao

Sema ungemwelezea zaidi Victor wasiomfahamu wamfahamu

Humu wapo wapiga kura wa Jimbo la Moshi v na kata zake 16

Ni busara unavyoelezea jambo ukaelezea sifa ya mtu , umahiri wake na why anafaa kwenye jambo fulan
 
Back
Top Bottom