- Thread starter
- #21
Check out All the way- Victoria Kimani ft. Khuli Chana. This lady can sing and she is hot too!
So good her song is.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check out All the way- Victoria Kimani ft. Khuli Chana. This lady can sing and she is hot too!
But she has good music.Umeongea la maana, bring good music people will support ipo hivyo Duniani. Zamani wanamuziki wa Drc walitake over mziki wa Africa Mashariki huku wana Afrika Mashariki wengi hawafahamu hata chembe ya kifaransa they only supported the good music.
Huyo ni mwasitWhat's wrong with ?? Mbona hakuna relation na topic, acha jealous
umeongea ukwel mtupu mkuuThe time I heard Kenyan's wana dis Nyanshiski kudai pesa kubwa kwenye interviews, I knew something was wrong with them!
Your artists are damn good, mnawalet down wenyewe!
I wish Nyanshiski angekua mtanzania, mngeona vile mastaa wanatengenezwa!
Sioni msanii wa kike Kenya anaemfunika Victoria Kimani kwa sasa. Ila mnavyomuongelea as if ni underground artist anaelazimisha fame!
Wana roho chafu sana wakenya wanabaguana sana au yawezekana kimani ni mkikuyu..ndiyo maana hawamtaki.Kimani yuko vizuri
Pia angeifikisha Kenya mbali kimziki. Tatizo Kenya kuna chuki za ajabu mtu anapokuwa na mafanikio. Kenya ukiwa na mafanikio wanaanza kukukosoa.
This is why .Anaenda industry ingine , anatengenezea videos huko na kuishi huko ...alafu anataka tumpende kama nani?shida yake Victoria kimani, aliamua kuiteka industry ya Nigeria kwa kusign na chocolate city, angebaki Kenya angetambulika
Tatizo nikuwa Kenya kuna rushwa sana kwenye industry ya mziki. Mbona Alikiba aliingia mkataba na Sony ya South Africa lakini tumempa full suportshida yake Victoria kimani, aliamua kuiteka industry ya Nigeria kwa kusign na chocolate city, angebaki Kenya angetambulika
You are always biased about TZ. We are talking about Victoria and then you are coming with another different story.Kama muziki ungewatoa WaTz kwa umaskini basi tungeona kitu kama hiyo...buy music is more personal. Diamond hajaweza kuitoa Danganyikans LDC and he spends more time in Kenya because Tz reminds him of poverty.
Tz ni bure kabisa hebu cheki hapa 2018You are always biased about TZ. We are talking about Victoria and then you are coming with another different story.
Tatizo la wewe kuwa jobless hapo Afya Center na chokoraa wenzako usiziamshie huku. Mkikuyu uliyekosa matunzo.
It seems you are a product of burst condom au mimba iliyokataa kutoka.
Itakuwaje abaguliwe eti kwasababu ni mkikuyu wakati kakake, Bamboo alipewa support na wakenya enzi zile hiphop zikivuma?Wana roho chafu sana wakenya wanabaguana sana au yawezekana kimani ni mkikuyu..ndiyo maana hawamtaki.
Kuna tofaut kat ya nzuri na bora
Wakulaumiwa si wakenya bali ni wanaotawala airwaves za Kenya kupitia cartels. Hao ndio wanaowanyima wasanii wa maana exposure huku wakihakikisha kwamba wanaoimba takataka ndio wananufaika. Corporate hazisaidii pia safaricom sanasana wanaongoza kwa kueneza ujinga wa sijui 'gospel music'. Wanahusisha the same cartels kwenye concert zao na contract wanaowapa wasanii. Very sad state of affairs.Sasa yule anaimba bora au nzuri kushinda kimani ni nani? Tatizo la wakenya yule MTU anaimba ushenzi ndio anashangiliwa lakini ukiimba vitu za maana unakemewa.that is why I do listen my RnB music from US.
Wakulaumiwa si wakenya bali ni wanaotawala airwaves za Kenya kupitia cartels. Hao ndio wanaowanyima wasanii wa maana exposure huku wakihakikisha kwamba wanaoimba takataka ndio wananufaika. Corporate hazisaidii pia safaricom sanasana wanaongoza kwa kueneza ujinga wa sijui 'gospel music'. Wanahusisha the same cartels kwenye concert zao na contract wanaowapa wasanii. Very sad state of affairs.
Royal Media, Safaricom, fake churches are killing Kenyan music like its their birthright.Wakiongozwa na citizen TV .