Victoria Kimani

Umeongea la maana, bring good music people will support ipo hivyo Duniani. Zamani wanamuziki wa Drc walitake over mziki wa Africa Mashariki huku wana Afrika Mashariki wengi hawafahamu hata chembe ya kifaransa they only supported the good music.
But she has good music.
 
The time I heard Kenyan's wana dis Nyanshiski kudai pesa kubwa kwenye interviews, I knew something was wrong with them!

Your artists are damn good, mnawalet down wenyewe!

I wish Nyanshiski angekua mtanzania, mngeona vile mastaa wanatengenezwa!

Sioni msanii wa kike Kenya anaemfunika Victoria Kimani kwa sasa. Ila mnavyomuongelea as if ni underground artist anaelazimisha fame!
 
umeongea ukwel mtupu mkuu
 
Kimani yuko vizuri
Pia angeifikisha Kenya mbali kimziki. Tatizo Kenya kuna chuki za ajabu mtu anapokuwa na mafanikio. Kenya ukiwa na mafanikio wanaanza kukukosoa.
Wana roho chafu sana wakenya wanabaguana sana au yawezekana kimani ni mkikuyu..ndiyo maana hawamtaki.
 
shida yake Victoria kimani, aliamua kuiteka industry ya Nigeria kwa kusign na chocolate city, angebaki Kenya angetambulika
 
Kama muziki ungewatoa WaTz kwa umaskini basi tungeona kitu kama hiyo...buy music is more personal. Diamond hajaweza kuitoa Danganyikans LDC and he spends more time in Kenya because Tz reminds him of poverty.
 
Kiukweli nimeshindwa kuelewa kama ni ukabila au wivu ?? Sema vyote viwili vina changia. Wameshadai ni mnigeria sio mkenya.
 
shida yake Victoria kimani, aliamua kuiteka industry ya Nigeria kwa kusign na chocolate city, angebaki Kenya angetambulika
Tatizo nikuwa Kenya kuna rushwa sana kwenye industry ya mziki. Mbona Alikiba aliingia mkataba na Sony ya South Africa lakini tumempa full suport
 
Kama muziki ungewatoa WaTz kwa umaskini basi tungeona kitu kama hiyo...buy music is more personal. Diamond hajaweza kuitoa Danganyikans LDC and he spends more time in Kenya because Tz reminds him of poverty.
You are always biased about TZ. We are talking about Victoria and then you are coming with another different story.
Tatizo la wewe kuwa jobless hapo Afya Center na chokoraa wenzako usiziamshie huku. Mkikuyu uliyekosa matunzo.
It seems you are a product of burst condom au mimba iliyokataa kutoka.
 
Tz ni bure kabisa hebu cheki hapa 2018
 
Wana roho chafu sana wakenya wanabaguana sana au yawezekana kimani ni mkikuyu..ndiyo maana hawamtaki.
Itakuwaje abaguliwe eti kwasababu ni mkikuyu wakati kakake, Bamboo alipewa support na wakenya enzi zile hiphop zikivuma? Kulia, Bamboo, kakake Victoria Kimani wakiwa na Abbas Kubaff.
Abbas Kubaff na Bamboo. Walivuma sana, enzi zao wakijiita K-South.
Kimya, rapper machachari, kakake Victoria Kimani pia ila bado hajulikani sana kama Bamboo.
 
Sasa yule anaimba bora au nzuri kushinda kimani ni nani? Tatizo la wakenya yule MTU anaimba ushenzi ndio anashangiliwa lakini ukiimba vitu za maana unakemewa.that is why I do listen my RnB music from US.
Wakulaumiwa si wakenya bali ni wanaotawala airwaves za Kenya kupitia cartels. Hao ndio wanaowanyima wasanii wa maana exposure huku wakihakikisha kwamba wanaoimba takataka ndio wananufaika. Corporate hazisaidii pia safaricom sanasana wanaongoza kwa kueneza ujinga wa sijui 'gospel music'. Wanahusisha the same cartels kwenye concert zao na contract wanaowapa wasanii. Very sad state of affairs.
 


Wakiongozwa na citizen TV .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…