OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Akiitakia heri Simba dhidi ya Orlando
Kama kawaida fans wa Simba wameamua kwenda nae sawa man to man kwenye page yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla haujasema kuwa ni wivu je umechukua muda wako kuifatilia hiyo account kujua imeanzishwa lini? Na imeanza kuposti lini? Tanzania ina watu wengi wajinga wa kufikiria.Kwahy na ile video kajirekodi na mashabiki wa simba kaiposti nayo katuingiza kingi? Acha wivu mkuu
Sijui kama kuna video nyingine tofauti na niliyoiona mimi. Video niliona mimi ni kwamba Adebayor yupo kwenye bus lao la wachezaji lakini mashabiki wa Simba wanamuimba wakiwa nje ya gari. Tukio ambalo mashabiki wa Simba ndio waliomuhusudu Adebayor.Kwahy na ile video kajirekodi na mashabiki wa simba kaiposti nayo katuingiza kingi? Acha wivu mkuu
Kabla haujasema kuwa ni wivu je umechukua muda wako kuifatilia hiyo account kujua imeanzishwa lini? Na imeanza kuposti lini? Tanzania ina watu wengi wajinga wa kufikiria.
Ni mtu tu anacheza na akili zenu halafu watu walivyokuwa mazwazwa wanaingia kingi tu, ile usemi wa manara uangaliwe na upya inawezekana ikawa kulwa na doto akili zao zinafanana. Nimeona mpaka CEO nae kaingia kingi.
Hakuna mchezaji professional ambaye anahudumu kwenye timu yake halafu akafanya ujinga kama huo labda wa mchangani.
Basi ushaumia tayari....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nchi hii sihamiSijui kama kuna video nyingine tofauti na niliyoiona mimi. Video niliona mimi ni kwamba Adebayor yupo kwenye bus lao la wachezaji lakini mashabiki wa Simba wanamuimba wakiwa nje ya gari. Tukio ambalo mashabiki wa Simba ndio waliomuhusu Adebayor.
Baada ya nyimbo na makele kuwa mengi, Adebayor akachukua simu yake kuchukua video kuwarekodi mashabiki wa Simba. Huku akifurahi. Furaha aliyokuwa nayo inatokana na kwenda kwenye nchi za watu halafu unaimbwa kama mfalme.
Kuna video tofauti na hii? Kama ni hii hakujirekodi bali karekodi mashabiki wa Simba na pia kuna mtu aliyerekodi tukio hilo na Adebayor alionekana yupo kwenye gari anawashangaa tu wanaomuimba
Hivi kakwambia nani kuwa kila mchezaji lazima awe na account ya Instagram? Na angetaka kuwa na hiyo account ya Instagram, ana umasikini kiasi gani mpaka apitwe na Dulla Makabila kuweka blue tick kwenye account yake?Haya wewe mkenya mwenye akili nyingi tusaidie account ya adebayor ni ipi, imefunguliwa Lin? Haruhisiwi kufungua mwaka huu?
Hivi kakwambia nani kuwa kila mchezaji lazima awe na account ya Instagram? Na angetaka kuwa na hiyo account ya Instagram, ana umasikini kiasi gani mpaka apitwe na Dulla Makabila kuweka blue tick kwenye account yake?
Wewe msemaji wa Adebayor hebu tupe sasa hivi account halisi ya bosi wako.Watanzania tunaongoza kwa ushamba na ujinga mwingi sana.
Hawachukui muda wao kufatilia account kama ni official ya mchezaji husika watu wanakurupuka tu.
Account rasmi ya mchezaji huwa haianzi baada ya tukio fulani bali huwa inakwepo tokea kipindi kirefu. Ukiangalia hiyo account ambayo imeingiza watu kingi ni kwamba imeanza kuposti kwa mara ya kwanza tarehe 22 mwezi wa pili.
Mechi ya USGN vs Simba ilifanyika tarehe 20 mwezi wa pili. Hivyo ni mtu tu kajifungulia account baada ya mechi ya Simba kucheza na USGN kule Niger na Adebayor ndio kuonekana mtu aliyeimbwa sans Ni account fake ni Adebayor wa michongo
Mkuu siku hizi kuna google translate kwahiyo kama hoja yako ya kuamini ni kwasababu ya lugha basi umechemka. Google translate unaweza kukufanya uandike lugha uitakayo. the muter désolé de ne pas savoir, je ne suis pas français mais qu'est-ce que vos yeux ont vu? Umeona hapo mimi nimeandika kwa kifaransa.Tatizo ndugu ni namna unavyoongea kwa uhakika wa 100% kwamba sio account yake Ila kwa ukiangalia vizuri hoja zako ni mtazamo zaid na ni mawazo yako binafsi. Hujui Kama adebayor ana account na huna hakika Kama hyo account sio yake. By d way nimependa ulivyofikiri nje ya box maana watu wengi wakiwemo waandishi wa habari na wachambuzi wameichukulia account Kama ya adebayor bila kujihakikishia. Binafsi bado naamin account ni yake, ingekua imefunguliwa na wabongo ingekua inapost kwa lugha ya kiswahili au kiingereza Ila sio kifaransa