Mkuu narudia tena, sio kila mchezaji ana account ya Instagram. Unaweza kunipa account halisi ya Saidoo Kanoute? Nakupa somo lifuatalo
Account ya Instagram ya Simbasc imewa follow wachezaji wake kama anatumia mtandao wa Instagram(ana account ya Instagram). Lakini ukiangalia kuna wachezaji hawapo kwenye list mfano ni Kanoute na hiyo inatokana na kutokuwa na account ya Instagram. Lakini ukiingia kwenye Instagram ukisachi Saido Kanoute utakutana na utitiri wa makaunti ya Kanoute ambayo yote ni fake. Hoja yangu hapa ni kwamba sio kila mchezaji anatumia Instagram.