Ok basi tufanye unavyotaka wewe basi. Ok sawa Adebayor kaamua kufungua account baada ya mechi ya Simba na USGN na pia kashindwa ku verify account yake kwa kukosa ela ama kwa kutokuona umuhimu wa kufanya hivyo. Haya mkuu umeridhika?Wewe msemaji wa Adebayor hebu tupe sasa hivi account halisi ya bosi wako.
Umemwaga povu kama mtoto wa chekechekea halafu unaita kaka zako hawana akili, kwani hairuhusiwi Adebayor kufungua acc ya insta tarehe 22?!
Umejaza hisia zako hapa halafu ukajiaminisha ndio ukweli 100%, wacha utoto wako dogo.
Simba imeshamalizana nae, pia dogo ameshaonyesha anaipenda Simba toka moyoni, ni jambo jema sana hili.Kwahyo tunasema "Deal Done"
why hukufikiria hivyo toka mwanzo? mnapenda sana complication. ningekuona GT kama ungeweka account halisiOk basi tufanye unavyotaka wewe basi. Ok sawa Adebayor kaamua kufungua account baada ya mechi ya Simba na USGN na pia kashindwa ku verify account yake kwa kukosa ela ama kwa kutokuona umuhimu wa kufanya hivyo. Haya mkuu umeridhika?
Me nadhani kuonyesha kwamba ulichoongea tangu huko juu ni ukweli ungeweka tu hiyo account yake halisi, vinginevyo wewe pia huna uhakika wa unachokisema.Ok basi tufanye unavyotaka wewe basi. Ok sawa Adebayor kaamua kufungua account baada ya mechi ya Simba na USGN na pia kashindwa ku verify account yake kwa kukosa ela ama kwa kutokuona umuhimu wa kufanya hivyo. Haya mkuu umeridhika?
Mkuu narudia tena, sio kila mchezaji ana account ya Instagram. Unaweza kunipa account halisi ya Saidoo Kanoute? Nakupa somo lifuatalowhy hukufikiria hivyo toka mwanzo? mnapenda sana complication. ningekuona GT kama ungeweka account halisi
Mashabiki wa simba wengi ni mbumbumbu, rahisi sana kudanganya, unakuta mtu unasombwa kwenye lory unazunguka mtaani unapiga makelele kama mwehuWatanzania tunaongoza kwa ushamba na ujinga mwingi sana.
Hawachukui muda wao kufatilia account kama ni official ya mchezaji husika watu wanakurupuka tu.
Account rasmi ya mchezaji huwa haianzi baada ya tukio fulani bali huwa inakwepo tokea kipindi kirefu. Ukiangalia hiyo account ambayo imeingiza watu kingi ni kwamba imeanza kuposti kwa mara ya kwanza tarehe 22 mwezi wa pili.
Mechi ya USGN vs Simba ilifanyika tarehe 20 mwezi wa pili. Hivyo ni mtu tu kajifungulia account baada ya mechi ya Simba kucheza na USGN kule Niger na Adebayor ndio kuonekana mtu aliyeimbwa sans Ni account fake ni Adebayor wa michongo
Swala la mtu kuzunguka mtaani na lory sio kwamba haliwezekani kwa yule nguruwe wenu, ni kwamba ikitokea kazunguka hivyo mitaani basi ujue tunazika.Mashabiki wa simba wengi ni mbumbumbu, rahisi sana kudanganya, unakuta mtu unasombwa kwenye lory unazunguka mtaani unapiga makelele kama mwehu
Huyu jamaa hazingatii kuwa nchi nyingi za Afrika hazina mambo ya instagram kwa sana ndio maana klabu nyingi maarufu na mafanikio kuliko Simba zinazifiwa idadi ya followers. Hata wachezaji wakisajiliwa Simba nyomi la followers wanalipatia Simba iwe twitter au instagram.why hukufikiria hivyo toka mwanzo? mnapenda sana complication. ningekuona GT kama ungeweka account halisi
Ona sasa nyie ndiyo mnafanya mashabiki wa simba kuonekana wote vilaza, huwezi kujenga hoja mpaka umtusi mtu?Swala la mtu kuzunguka mtaani na lory sio kwamba haliwezekani kwa yule nguruwe wenu, ni kwamba ikitokea kazunguka hivyo mitaani basi ujue tunazika.
Kumbe hapo nimekutusi sio? 😂Ona sasa nyie ndiyo mnafanya mashabiki wa simba kuonekana wote vilaza, huwezi kujenga hoja mpaka umtusi mtu?
Hujaona tusi? So Manara ni Nguruwe?Kumbe hapo nimekutusi sio? 😂
Ila jamaa ana hoja, na kuhusu ulichokisema ni sahihi na ndio maana amesema kuwa sio kila mchezaji lazima awe na akaunti ya mitandao ya kijamii kama Instagram.Huyu jamaa hazingatii kuwa nchi nyingi za Afrika hazina mambo ya instagram kwa sana ndio maana klabu nyingi maarufu na mafanikio kuliko Simba zinazifiwa idadi ya followers. Hata wachezaji wakisajiliwa Simba nyomi la followers wanalipatia Simba iwe twitter au instagram.
Kimjaacho mtu ndicho kimtokacho.Hujaona tusi? So Manara ni Nguruwe?
Nimekuelewa sanaKimjaacho mtu ndicho kimtokacho.
Nadhani umenielewa, mkuu, kuhusu watu wa dizaini hizi.
kama umewaza hivyo kwa nini usiwaze kuwa Adebayor ndio kafungua account hivi karibuni coz hakuwa nayo kabla?Mkuu narudia tena, sio kila mchezaji ana account ya Instagram. Unaweza kunipa account halisi ya Saidoo Kanoute? Nakupa somo lifuatalo
Account ya Instagram ya Simbasc imewa follow wachezaji wake kama anatumia mtandao wa Instagram(ana account ya Instagram). Lakini ukiangalia kuna wachezaji hawapo kwenye list mfano ni Kanoute na hiyo inatokana na kutokuwa na account ya Instagram. Lakini ukiingia kwenye Instagram ukisachi Saido Kanoute utakutana na utitiri wa makaunti ya Kanoute ambayo yote ni fake. Hoja yangu hapa ni kwamba sio kila mchezaji anatumia Instagram.
Huyo jamaa hajui utani wa jadi, yeye ni matusi na dharau anajiona mkamilifu sana..,Hujaona tusi? So Manara ni Nguruwe?
Huyo Mac Alpho stress za kubeti zinamsumbua akinyanduliwa na kanji hasira anamalizia kutus watu humu ambao Pengine ni Baba zakeKimjaacho mtu ndicho kimtokacho.
Nadhani umenielewa, mkuu, kuhusu watu wa dizaini hizi.
Hahahaha kubeti nako bado ni story ya kushangaza hapa mjini?Huyo Mac Alpho stress za kubeti zinamsumbua akinyanduliwa na kanji hasira anamalizia kutus watu humu ambao Pengine ni Baba zake
Kama kusema hivyo ni kutukana, basi hata wewe unaewaita mashabiki wa Simba Sc MBUMBUMBU unawatusi pia.Hujaona tusi? So Manara ni Nguruwe?