Hivi si tulikubaliana kwamba uzungu siyo ukristo wala uarabu siyo uislamu, sisi tunachojua Asilimia 99 ya waturuki ni waislamu tena wengi ni sunni, hayo ya uzungu na uarabu hayahusiani na diniHao waturuki wazungu sio Waarabu , kumbuka waturuki wamegawanyiks kuna wale wa uzungu mwingi na wale uarabu mwingi ambao wako Anatolia karibu na mipaka ya IraQ na Syria.
Hata muvi za kibongo waigizaj wanatafutwa warembo tu.kina uwoya sepetu lulu...muvi hazina uhalisia dada angu..dunia nzimaHawa Hawa kina Sultana na Feliz walivyo vinanda?aaaaah utakuwa una lako jambo wewe[emoji1787]
Mchagua k si mto.mbaj kakaUkiviona kwa nje vinavutia nenda nae geto uone habari yake. Picha linaanza akivua viatu io harufu inayotoka apo utajuta kukutana nae. Asa avue chupi dadadeki chupi pale kati rangi imebadiliaka afu kuna kamnato mnato kanatoa harufu tegemezi. Vinapenda kula denda afu mswaki avipigi vinanuka mdomo. Meno yamebadilika rangi kwa sigara. Mda wote vinanuka sigara. Nimetembea kote sijaona wadada wachafu kama wa kituruki wanazidiwa adi na dada zetu wa kwampalange
Labda alimuokota huyo mturuki pale tandika dabokibini
Joto la Dar afu usioge week, itatoka harufu kama panya buku😀 mimi sizoei aisee nashinda naoga kama samakiMazoea!
KUna watu wamezaliwa dar joto lote hili na bado wiki inapita mtu haogi.
Hadi anayekuvulia wewe?Mwanamke yoyote anaevua nguo kabla ya ndoa huyo ni mchafu tu kwangu hana utetezi.
Ngoja waje waturuki wa bongoUkiviona kwa nje vinavutia nenda nae geto uone habari yake. Picha linaanza akivua viatu hiyo harufu inayotoka hapo utajuta kukutana nae.
Sasa avue chupi dadadeki chupi pale kati rangi imebadiliaka halafu kuna kamnato mnato kanatoa harufu tegemezi. Vinapenda kula denda afu mswaki avipigi vinanuka mdomo. Meno yamebadilika rangi kwa sigara. Muda wote vinanuka sigara. Nimetembea kote sijaona wadada wachafu kama wa kituruki wanazidiwa hadi na dada zetu wa kwampalange
Bomu hili linauwa wengi.Mwanamke yoyote anaevua nguo kabla ya ndoa huyo ni mchafu tu kwangu hana utetezi.
Rangi nyeupe wengi ni Wachafu sana. Wana hisi ule mwonekano wao wa Rangi basi ni Clean.Ukiviona kwa nje vinavutia nenda nae geto uone habari yake. Picha linaanza akivua viatu hiyo harufu inayotoka hapo utajuta kukutana nae.
Sasa avue chupi dadadeki chupi pale kati rangi imebadiliaka halafu kuna kamnato mnato kanatoa harufu tegemezi. Vinapenda kula denda afu mswaki avipigi vinanuka mdomo. Meno yamebadilika rangi kwa sigara. Muda wote vinanuka sigara. Nimetembea kote sijaona wadada wachafu kama wa kituruki wanazidiwa hadi na dada zetu wa kwampalange
Wazungu ni kama wamegombana na majiAisee kwani ni mkoa wa baridi? Hili joto la Dar yeye mwenyewe angekua anatafuta maji yalipo
Mhenga Hivi upo ndo kulea wajukuu au nini umepotea kweliHahahhaahhaha
Ndiyo kosa kubwa wanalofanya Bongo movies. Si kweli kwamba uigizaji unahitaji wanawake warembo tu. Uigizaji unataka muigizaji mwenye kipaji cha kuigiza na haiba yake iendane na uhusika anaouvaa. Movie inatakiwa i-reflect hali halisi ya maisha na mazingira wanayotaka kuonyesha. Na mitaani hakuna wanawake warembo tu...Hata muvi za kibongo waigizaj wanatafutwa warembo tu.kina uwoya sepetu lulu...muvi hazina uhalisia dada angu..dunia nzima