Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hivi si tulikubaliana kwamba uzungu siyo ukristo wala uarabu siyo uislamu, sisi tunachojua Asilimia 99 ya waturuki ni waislamu tena wengi ni sunni, hayo ya uzungu na uarabu hayahusiani na diniHao waturuki wazungu sio Waarabu , kumbuka waturuki wamegawanyiks kuna wale wa uzungu mwingi na wale uarabu mwingi ambao wako Anatolia karibu na mipaka ya IraQ na Syria.