Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Sehemu za misituni hivi. West KilimanjaroHahaha kutoka wapi hadi wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu za misituni hivi. West KilimanjaroHahaha kutoka wapi hadi wapi
KambaleJoto la Dar afu usioge week, itatoka harufu kama panya buku[emoji3] mimi sizoei aisee nashinda naoga kama samaki
Kwann hamkumwambia awe anaoga?2016 nyumbani tulipokea mgeni kutoka German
Alikaa mwezi, kama alioga haikuzidi 5 times zaidi ya kujifuta na kitambaa cha maji.
Tissue zilikua zinakauka hatujui wapi zinaenda nahisi alikua anajifutia nyaa
Alikua ananuka kishenzi
😂😂😂
Kwa mtu mzima, kuoga hiyari kula lazimaKwann hamkumwambia awe anaoga?
Eti kina ferit korhan ,na seyran , Suna,ifakhati, Kweli?😂😂Hawa Hawa kina Sultana na Feliz walivyo vinanda?aaaaah utakuwa una lako jambo wewe🤣
Mi nisingeweza kuishi nae mtu ananuka .Kwa mtu mzima, kuoga hiyari kula lazima
Ukiviona kwa nje vinavutia nenda nae geto uone habari yake. Picha linaanza akivua viatu hiyo harufu inayotoka hapo utajuta kukutana nae.
Sasa avue chupi dadadeki chupi pale kati rangi imebadiliaka halafu kuna kamnato mnato kanatoa harufu tegemezi. Vinapenda kula denda afu mswaki avipigi vinanuka mdomo. Meno yamebadilika rangi kwa sigara. Muda wote vinanuka sigara. Nimetembea kote sijaona wadada wachafu kama wa kituruki wanazidiwa hadi na dada zetu wa kwampalange
Maji yapo chooni! Lkn anajifuta na kitambaa makwapani bila aibu! Ni mwanaumeMi nisingeweza kuishi nae mtu ananuka .
Ningekuwa namuandalia maji aone aibu😂
Twende taratibuu ......ulioder online au ulienda kule kwenye shanty za south Instanbul????Ukiviona kwa nje vinavutia nenda nae geto uone habari yake. Picha linaanza akivua viatu hiyo harufu inayotoka hapo utajuta kukutana nae.
Sasa avue chupi dadadeki chupi pale kati rangi imebadiliaka halafu kuna kamnato mnato kanatoa harufu tegemezi. Vinapenda kula denda afu mswaki avipigi vinanuka mdomo. Meno yamebadilika rangi kwa sigara. Muda wote vinanuka sigara. Nimetembea kote sijaona wadada wachafu kama wa kituruki wanazidiwa hadi na dada zetu wa kwampalange
🤣🤣🤣🤣Mbona kama anatuchanganya ubongo Tena?Eti kina ferit korhan ,na seyran , Suna,ifakhati, Kweli?😂😂
Mkuu huwezi kuutenganisha uarabu na uislamu.....au uzungu na ukristo....Hivi si tulikubaliana kwamba uzungu siyo ukristo wala uarabu siyo uislamu, sisi tunachojua Asilimia 99 ya waturuki ni waislamu tena wengi ni sunni, hayo ya uzungu na uarabu hayahusiani na dini
Aisee why bila kuoga😀 wana shida hawaWazungu ni kama wamegombana na maji
ThubutuuuAisee kwani ni mkoa wa baridi? Hili joto la Dar yeye mwenyewe angekua anatafuta maji yalipo
🤣 Hatari🤣🤣🤣🤣Mbona kama anatuchanganya ubongo Tena?