Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
🤔Aiseer poleMaji yapo chooni! Lkn anajifuta na kitambaa makwapani bila aibu! Ni mwanaume
Mimi ndo nilikua rafiki yake kumpeleka airport kutoa pesa
Kutembea nae harufuu plus kigugumizii chake! hadi kichwa kinaniuma😄
Mi ningempa live nakwambia