Video: 10 Places You Must Visit in Tanzania

Video: 10 Places You Must Visit in Tanzania

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Tanzania is one of the countries with many attractions in the world. In this video you will find the most important places you should visit in your life.
Tanzania tourism continues to grow dramatically.

 
Tanzania is one of the countries with many attractions in the world. In this video you will find the most important places you should visit in your life.
Tanzania tourism continues to grow dramatically.


Umesahau kuwa sisi wenyewe watanzania kutuangalia ni kivutio kikubwa sana kwa mambo tunayoyafanya, mfano tunagombea mchanga na magwangala tunaacha matofali ya dhahabu yanatoroshwa kwa ndege kila uchao
 
Nchi hii ina hazina sana katika utalii, lakini tuna shida sana katika kuutangaza.

Nakumbuka miaka kama mitatu iliyopita niliwahi kuomba wazo humu ndani la kufanya kitu chenye kuitambulisha nchi, nilipokuwa katika kusanyiko fulani. Nikaunganisha mawazo ya [HASHTAG]#MSHINO[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Watu8[/HASHTAG] na pia kwa kutumia presentation niliyotumiwa na [HASHTAG]#Lubebenamawe[/HASHTAG]. Nilifanya presentation na mambo mengi ya kitalii yalikuwa impressive kiukweli. Na nilitambua hilo ulipofika wakati wa cock-tail jioni, watu wengi walitaka kufahamu zaidi jinsi gani ya kufika katika baadhi ya maeneo niliyoyaonesha na pia mahala wangeweza kupata taarifa ziwasaidie kukokotoa gharama (kufika hadi kuondoka).

Yaani kwenye taarifa ni tatizo, tena tatizo kubwa!!!!!

Ajabu sana sisi tunatumia "website" kama ni kawaida tu kuwa nayo. Hatuzipi kipaumbele kuwa "website" ni kioo cha taasisi na ni "platform" inayotakiwa kumuwezesha mtu wa nje aielewe taasisi vizuri (hasa kama ni taasisi ya kibiashara). Jaribu kuingia katika "website" ya TANAPA (sijui kama imebadilika). Lakini katika "pages" za maeneo ya kutalii (Parks nk), kulikuwa na viparagraph vinne vitano (havina links zaidi wala nini), ilihali ukisoma unaona humo kwenye hayo maeneo ya kitalii kuna huduma za malazi, usafiri wa kukodi, nk), sasa mtu anazifikiaje hizo huduma akiwa nje ya eneo hilo la kitalii? Utaona unatakiwa ufanye "bookings" kwenye A au B, lakini "how" haijajibiwa-Wapi contacts za hizo huduma za malazi, usafiri, nk!!? Nilikutana na "email" ya Mikumi, nikawauliza gharama, yaani wanikokotolee. Nilitegemea wangejiongeza na kunipa labda links ambazo zingenisaidia zaidi, ajabu walinijibu kilekile kisichojitosheleza katika website ya TANAPA, tena kwa email kavukavu (basi hata attachment)!!
 
Back
Top Bottom