Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Afisa wa Yanga ambaye hakufahamika jina lake mara moja akitaka kuzichapa na mtu aliyemtuhumu kurekodi mazoezi ya Klabu hiyo katika Uwanja wa KMC, Mwenge Jijini Dar es Salaam mapema leo Alhamisi Septemba 10,2026.
Yanga inajiandaa kucheza mchezo wa marejeano dhidi ya Gaborone United Jumamosi hii.
==========
Kuna watu wanapenda kujitafutia matatizo ya bure tu. Kwanini urekodi mazoezi bila kibali?
Lakini huyo jamaa naye alipaswa kutumia hekima sio kupigana