Video: Afisa wa Yanga ataka kuzichapa na mtu aliyemtuhumu kurekodi mazoezi ya Klabu hiyo, bila ruhusa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Your browser is not able to display this video.

Afisa wa Yanga ambaye hakufahamika jina lake mara moja akitaka kuzichapa na mtu aliyemtuhumu kurekodi mazoezi ya Klabu hiyo katika Uwanja wa KMC, Mwenge Jijini Dar es Salaam mapema leo Alhamisi Septemba 10,2026.

Yanga inajiandaa kucheza mchezo wa marejeano dhidi ya Gaborone United Jumamosi hii.
==========
Kuna watu wanapenda kujitafutia matatizo ya bure tu. Kwanini urekodi mazoezi bila kibali?

Lakini huyo jamaa naye alipaswa kutumia hekima sio kupigana
 
Club ya wahuni
 
Hizi Yanga na Simba usipotanguliza akili unaweza ukaingia kwenye matatizo kwa mihemko isiyo na ulazima.
 
Wana yanga mkuje hapa mtolee ufafanuzi.
 
Shida ni kwamba wakati anarekodi hiyo video ndio wakati ambao kocha wetu mpiga miti alikuwa anawapiga miti baadhi ya wachezaji.
 
Huko majuu watu wanatolewa mashindanoni.
 
Watz wote wangekuwa na ujasiri kama huyo jamaa wa Yanga, massm yasingekuwa yanafanya mambo ya kijinga jinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…