GE2025 Video: Aggrey Mwanri kwenye harakati za kutafuta kura za wajumbe aimba wimbo wa "Asimama peke yake"

GE2025 Video: Aggrey Mwanri kwenye harakati za kutafuta kura za wajumbe aimba wimbo wa "Asimama peke yake"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu mzee watu wote si Simba Wala Yanga tunamkubali apewe tu ubunge!
 
Kwa kweli hatuioendi ccm ila sio kila alie ccm hafai.
Please wajumbe msituangushe anatu faa mno.
 
Huyu huwa hajui kupangilia hoja. Mafaili huwa yapo hovyo hovyo kichwani.
 
Back
Top Bottom