GE2025 Video: Aggrey Mwanri kwenye harakati za kutafuta kura za wajumbe aimba wimbo wa "Asimama peke yake"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu mzee watu wote si Simba Wala Yanga tunamkubali apewe tu ubunge!
 
Kwa kweli hatuioendi ccm ila sio kila alie ccm hafai.
Please wajumbe msituangushe anatu faa mno.
 
Hapo alikuwa anafafanua stages za maendeleo kuwa zinafanana na hatua za ukuaji za mtoto...
na Tanzania hatuendelea mana marekani na ulaya zinaturusha sana stage za maendeleo
 
Huyu huwa hajui kupangilia hoja. Mafaili huwa yapo hovyo hovyo kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…