Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni, alikamatiwa nje ya geti la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupelekwa na kuachwa Temeke, karibu na stendi ya Sudan.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hayupo katika orodha ya Jeshi la Polisi ya watu waliokamatwa tarehe 24/04/2025