Ukisikia nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza....
Haya maisha hayana formula, yani wale mabinti wote niliosoma nao ambao walikuwa wanaonekana wameshindikana, malaya wana bad influence leo ndiyo wako vzuri kwenye lichama tawala.
Vipanga wako hoi wanapumulia oxygen.