Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

Wamemchangia 120 million kumchukulia fomu
Hawajitambui na nimeshangaa sana PM anasizitiza fomu ya uchaguzi ni moja tu.this is injustice and purely unfair.Nini maana ya demokrasia.tunarudi kwenye zama za picha na kivuli.
 
Pia na wewe uelewe hoja hiyo hakuipenyesha from nowhere bali kulikuwa na backing na kwa yeye ni bora angeisogeza kupitia kwa wabunge wengine.si kweli mwandishi hajui namna mchakato wa kutunga sheria inavyopitia bali hiyo skeptic yako tu.
 
Vile Vita Vya kupambana na ujinga ,Maradhi na umasikini aliyoianzisha Hayati Mwalimu JK Nyerere vinaendelea au Tumeipata ushindi tayari, au ndiyo tumepikwa knockout kama ya Nganou
 
We ungekuwa kwenye position yake ungeon sahihi kulipwa hicho kibumda?
 
Hongera mkuu umepangilia na kuandika uhalisia.Sio huyo waziri.
 

Pia na wewe uelewe hoja hiyo hakuipenyesha from nowhere bali kulikuwa na backing na kwa yeye ni bora angeisogeza kupitia kwa wabunge wengine.si kweli mwandishi hajui namna mchakato wa kutunga sheria inavyopitia bali hiyo skeptic yako tu.
Mkuu mbunge anayetoa mawazo, maoni au hoja bungeni kwa kufuata kanuni na taratibu za bunge na hoja yake ikakubaliwa hawezi kuhukumiwa kwa ku exercise haki hiyo.

Mkuu wajibu, mamlaka na haki ya kukubali au kukataa hoja hiyo ipo mikononi mwa bunge na wabunge wote.

Na yeye sio wa kwanza kufanya hivyo. Kwa mfano Zungu alitoa hoja ya tozo ya uzalendo bungeni ikakubaliwa, ikapitishwa na tunakatwa hiyo tozo!
 
Salma hajawahi kuwa na akili kama mumewe
Unategemea azitowe wapi? Ni kudra ya mwenyezi Mungu kufikia serhemu aliyopo lakini sijawahi kumuona akiwa na wazo lolote maana kuhusu taifa hili. Labda mswada wa mafao kwa wenza wa viongozi wakuu.
 
Ukombozi wa Tanzania upo Mikononi mwa Watanzania wenyewe.
Ukombozi wa African upo Mikononi mwa waafrika Wenyewe.
"Ee Mungu tusaidie kufungua frikra zetu tuondokane na uvivu wa kufikiri na utupatie moyo wa kizalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pasipo kunufaisha matumbo yetu iwe kwaajili ya ustawi wa vizazi vyetu vya baadae wapate kuishi Tanzania iliyo Salama" Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…