kwa hiyo kama ni video ya zamani inamaana wanatania tu hawana mpango wa kuja Tanzania??Hiyo video ni ya muda sana ni vile hamko makini na mambo yenu ya usalama.
wanasema ushindi mkubwa wa ugaidi ni HOFU....ukisharuhusu tu iinggie ndani ya wananchi basi unakua umeshinda nusu ya vita...tusiruhusu hofu itugawe wana afrika mashariki kutoka kwa hawa maharamia
Wewe kama uliitazama zamani fahamu sio kila mtu hufuatilia hizi video za hawa jamaa, kuna baadhi yetu hatuna muda huo, labda nikutane nayo kwenye mitandao.
kwa hiyo kama ni video ya zamani inamaana wanatania tu hawana mpango wa kuja Tanzania??
Sisi watz hakuna kitu kinatupita,ni kawaida yetu kufuatilia.
Nenda kwenye huu uzi Umeisikia hii kutoka kwa Alshabab - JamiiForums
Uwaone Watanzania wengi humo wanaishangaa pia, nimekuambia sio kila mtu huwa lofa wa kutafuta video za mashababi.
Nimeicheki kwa makini. Hapa kazi ipo, unajua mtu anayepigania dini na yule anayepigania ajira kuna utofauti mkubwa sana.
You fight while you look back to see your children, mom and wife lakini hawa vichaa wanapigana huku wanatazama pepo uchwara iliyojaa wanawake wazuri
Mabikira 72 na mito ya mvinyo isiyo na kikomoNimeicheki kwa makini. Hapa kazi ipo, unajua mtu anayepigania dini na yule anayepigania ajira kuna utofauti mkubwa sana.
You fight while you look back to see your children, mom and wife lakini hawa vichaa wanapigana huku wanatazama pepo uchwara iliyojaa wanawake wazuri
HahaaaaaaaNi ulofa tena!!!
Subiri siku waje wakubake na taarifa waliishakupa,wewe ukikuta free wifi una surf porn tu basi.
Ndio maana niliona mmoja kashika bunduki huku akiweka jiwe sehemu za siri ili zisipigwe risasi na azitumie kulamba wanawake huko peponi. Sasa hii ni dini kweli ama ni kuwaza ngono tuuu