Video: Alshabaab wajisifia watakavyonyakua kuanzia Mombasa hadi Zanzibar

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Inabidi vyombo vya ulinzi na usalama tanzania wawe makini maana Hawa wasn. G Wasije kufanya balaa
Hii video ya Muda sana lkn hatujui mpk sasa wako kwenye mipango gani

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanasema ushindi mkubwa wa ugaidi ni HOFU....ukisharuhusu tu iinggie ndani ya wananchi basi unakua umeshinda nusu ya vita...tusiruhusu hofu itugawe wana afrika mashariki kutoka kwa hawa maharamia
 
Nimeicheki kwa makini. Hapa kazi ipo, unajua mtu anayepigania dini na yule anayepigania ajira kuna utofauti mkubwa sana.
You fight while you look back to see your children, mom and wife lakini hawa vichaa wanapigana huku wanatazama pepo uchwara iliyojaa wanawake wazuri
 
Cha msingi nikuwaonyesha jamii haiwaogopi tena, wakivamia eneo wanafyekwa bila huruma na kila mtu anaendelea na shughuli zake.
 
Hiyo video ni ya muda sana ni vile hamko makini na mambo yenu ya usalama.

Wewe kama uliitazama zamani fahamu sio kila mtu hufuatilia hizi video za hawa jamaa, kuna baadhi yetu hatuna muda huo, labda nikutane nayo kwenye mitandao.
 
Sisi watz hakuna kitu kinatupita,ni kawaida yetu kufuatilia.
 
Nimeicheki kwa makini. Hapa kazi ipo, unajua mtu anayepigania dini na yule anayepigania ajira kuna utofauti mkubwa sana.
You fight while you look back to see your children, mom and wife lakini hawa vichaa wanapigana huku wanatazama pepo uchwara iliyojaa wanawake wazuri

Ndio maana niliona mmoja kashika bunduki huku akiweka jiwe sehemu za siri ili zisipigwe risasi na azitumie kulamba wanawake huko peponi. Sasa hii ni dini kweli ama ni kuwaza ngono tuuu
 
Nimeicheki kwa makini. Hapa kazi ipo, unajua mtu anayepigania dini na yule anayepigania ajira kuna utofauti mkubwa sana.
You fight while you look back to see your children, mom and wife lakini hawa vichaa wanapigana huku wanatazama pepo uchwara iliyojaa wanawake wazuri
Mabikira 72 na mito ya mvinyo isiyo na kikomo
 
rhymes wanazo kama wale wasaafi, lakini story inaishia hapo, aidha hawa washafanywa nyama choma ama wapo njiani kuwa nyama choma.
 
Back
Top Bottom