Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Hii video inaonyesha moja mtu ambaye amebadika gari picha za Samia akifanya bwebwe zake za kishamba katika ya barabara na kuwazuia watu wengine kupita. Bila shaka wangefanya wengine basi angekamatwa na kwenda kujibu mashitaka.
Sasa hii kweli ni haki kabisa kufanya hivi tena kwenye barabara ambaye kila mtu anapaswa kuitumia ?
Sasa hii kweli ni haki kabisa kufanya hivi tena kwenye barabara ambaye kila mtu anapaswa kuitumia ?