Video: Altezza ya Mama ikifanya bwebwe katika ya barabara na kuzuia watu wengine kupita

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Hii video inaonyesha moja mtu ambaye amebadika gari picha za Samia akifanya bwebwe zake za kishamba katika ya barabara na kuwazuia watu wengine kupita. Bila shaka wangefanya wengine basi angekamatwa na kwenda kujibu mashitaka.

Sasa hii kweli ni haki kabisa kufanya hivi tena kwenye barabara ambaye kila mtu anapaswa kuitumia ?
Your browser is not able to display this video.
 
Ingekuwa chama kingine ungekuta kashatekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…