SI KWELI Video: Anayejiita Superwoman akamatwa na mihadarati nchini Oman

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Msije shangaa wakina Mwijaku & company wanatumia uchawa wao kwa Samia kama cover!
 
Huyu dada yupo na n mzima mumheshimu Mungu HATA kwa familia yake naombaaa

Muwe na hofu ya Mungu HATA kidogo tu
 
Asante JF kwa kumclear maana sasa inaonekana maadui zake walikuwa wanafurahi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…