Video: Aoa kwa mahari ya shilingi elfu mbili

Video: Aoa kwa mahari ya shilingi elfu mbili

Mimi niliambiwa Mahari Laki moja.

Mshenga alivyoenda kulipa yote wazazi wa Binti wakakataa kupokea yote. Tuliambiwa Kimila kulipia mahari yote ni sawa tumeenda kumnunua Binti, hivyo hataruhusiwa kurudi tena kwao.

Mshenga ikabidi atoe elfu 80 tu, wakaipokea nikapewa Mke.
Hadi leo sijaenda kumalizia ile chenji na hawanidai.
We mjomba mtu niko humu hebu angalia PM nakutumia namba utume hiyo ela kwa tigo pesa fastaaa
 
Niliambiwa milioni tatu na ng'ombe na mbuzi kazaa

Wakanipangia na tarehe hawakuniona mpka leo na simu nikabadili namba
 
elfumbili usd200 ni pesa ndefu iyo pisi itakuwa ni kali sanaa
 
Kwa kusoma post zilizotangulia inaonekana dhahiri Me mlio wengi hampendi kitu inaitwa mahari.
 
Back
Top Bottom