palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Baada ya Pinda kuwapa ruhusa
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wamemwogopa Pinda, baana alisema tupigwe tuHakuna hata mtu wa kumtetea kijana na kutoa usuruhishi. Hii nchi tunakoenda siko!
Huyu dogo alitaka kukimbia. Hakutaka kutii sheria.
Pinda aliagiza wapigwe tuuu! Maana serikali imechoka.
Traffic Police alikuwa anatekeleza agizo la Waziri Mkuu.
Na kampiga kweli.
Hakuna hata mtu wa kumtetea kijana na kutoa usuruhishi. Hii nchi tunakoenda siko!
Tatizo wazanzibar mdabwedo mno... Kaaskari kamoja kanawanyanyasa hivyo...
Inabidi wananchi tuoneshe umoja na mshikamano. Inakuwaje askari anampiga mwenzenu nyie mnabaki kumwangalia tu, kujitetea ni haki ya kila raia, kusaidiana katika madhila na uonevu ni muhimu pia vinginevyo tutabaki tukionewa na watawala dhalimu kila siku
Ukiwa na makosa siku zote hata usipotendewa haki huwezi kulalamika!