Video:Askari trafik ampa kipigo raia Zenj

Video:Askari trafik ampa kipigo raia Zenj

Simlaumu Trafic anaogopa asije akafanya Insubordination kwa Waziri Mkuu
 
Kuwa na makosa sio kigezo cha kutotendewa haki, vinginevyo hata mahakama zisingekuwepo

Ila ni kigezo cha wewe kutoweza kupigania haki yako unapotendewa isivyo haki!

Sijui umenielewa..

Jiulize ni kwa nini mtu akikamatwa na traffic anatoa rushwa mwenyewe; 85% ya watu wanaotoa rushwa kwa polisi wa usalama barabarani magari/vyombo vyao vya usafiri huwa vina makosa ambayo yanatambulika kisheria. 13% ni katika tu kutafuta shortcut ya mambo na waliobaki 2% ni makosa ya kubambikiwa.

Am I lying!??

Now, baada ya hapo utakuja tu JF na kusema askari wanapenda rushwa sana blah blah blah..ukiambiwa usitoe rushwa huwezi maana deep within you unajua tu wewe ndiyo una makosa..so kuliko kutengeneza chombo chako au kuliko kulipa faini ya 50,000/- ni heri umtoe traffic buku tano!

I know utasema, bado hiyo haihalalishi askari kuchukua rushwa au kukutendea kinyume na haki zako ulizostahili..

Ntakujibu..


Mboreshee maslahi yake uone!!!! lol...sor kama nimekukwaza...siwapendi polisiiiiiii:smile-big:
 
Hivi kumbe kauli ya mtoto wa mkulima ina-apply mpaka Zanzibar?Mimi nilifikiri mwisho visiwa vya Chumbe. Lakini hao jamaa waliokuwa uwanjani nimewadharau sana, yaani mwenzao anapigwa kama mtoto wao wanacheza mpira tu? Polisi wa Bara hawajiamini kiasi hicho na kwa hali ilivyo hawawezi kwasasa kuthubutu kufanya hivyo tena yuko peke yake kazunguzwa na kundi la vijana thubutuuu!!!!!!!
 
Madhara ya Pinda kutoa matamshi ya KUSHITUKIZA ni bora anayaona kabla hajastaafu Uwaziri Mkuu huenda akafuta kauli, tuombe Mungu abadili kauli maana huyu Trafiki kumpiga kiasi kile tena kwenye uwanja wa mpira nadhani imedhihirika kwamba hakua hata aibu kwao kuonyesha mabavu.
 
Natamani siku Trafiki aingie kwenye Anga zangu eti ajifanye kunipiga nimtoe Roho,,,, Shenzi Taip!!
 
Back
Top Bottom