Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sidhani kwa ile hali huyu mwamba hakuwa mpango angekuwa mpango makanisa yake wasingefungaHuyu alikuwa mpango
Na amaeshamaliza kazi yake
Sijui kajiamini nini kujitokeza wakati utekaji bado unaendelea.Akitoka hapo akajifiche tena
Hii ni statagi ya akili kubwa sana aliotumia kuongeza wafuasiSidhani kwa ile hali huyu mwamba hakuwa mpango angekuwa mpango makanisa yake wasingefunga
Atakuwa katumia akili ndogo kama Polepole unaokotwa kama panziSijui kajiamini nini kujitokeza wakati utekaji bado unaendelea.
Kuna watu wengi sana wasiojulikana wakienda hapo wanakatwa vichwaSijui kajiamini nini kujitokeza wakati utekaji bado unaendelea.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameonekana akiwa katika hali ya furaha kubwa kanisani kwake, akicheza na kuimba pamoja na waumini, ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana kanisani hapo baada ya kanisa hilo kufunguliwa.
Kanisa hilo lilifungiwa kwa muda na Serikali kufuatia kile kilichoelezwa kuwa ni ukiukwaji wa taratibu za uendeshaji wa taasisi za kidini, baada ya Askofu Gwajima kukosoa masuala ya Utejaji, Utawala bora, masuala ya uchaguzi, jambo ambalo lilielezwa kuwa linakiuka sheria na kuhatarisha utulivu wa jamii
View attachment 3523437
Serikali kupitia Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa, ilitangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, kuanzia Juni 2, 2025.
Hatua hiyo ilichukuliwa siku moja baada ya Gwajima kutangaza msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu kupotea.
Nilitaka kusema kama hivi hivi mkuu, sijui shida ni nini kwa hawa Wazalendo wetu au wanarogwa ?Atakuwa katumia akili ndogo kama Polepole unaokotwa kama panzi
Serikali corrupt hii!Labda anataka ajikamatishe km Lissu ili kuzidisha tension nchini na kuzidi kuweka mtegoni serikali mama samuya, na huyu wakimkamata serikali/dola/polisi italazimilika waseme Yuko wapi coz ashajionesha km hvyo hadharani tofauti na polepole,