Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,969 Reaction score 7,137 Jan 1, 2026 #21 HIMARS said: Inaonesha hakuna Usalama nchi hii maana wameshindwa mpata Click to expand... Hivi walimkosa kweli π, au walimpotezea tu ! Kumbe inawezekana kuwa hapa hapa kwa nyerere na wasikudake
HIMARS said: Inaonesha hakuna Usalama nchi hii maana wameshindwa mpata Click to expand... Hivi walimkosa kweli π, au walimpotezea tu ! Kumbe inawezekana kuwa hapa hapa kwa nyerere na wasikudake
M matonyamswanu JF-Expert Member Joined Dec 7, 2025 Posts 358 Reaction score 433 Jan 1, 2026 #22 Malaika wa Misukosuko said: Naona ameamua kupima kina cha bahari kwa Mguu sawaaa Click to expand... Damu mliyokunywa ni tamu kiasi gani, hebu tuambieni
Malaika wa Misukosuko said: Naona ameamua kupima kina cha bahari kwa Mguu sawaaa Click to expand... Damu mliyokunywa ni tamu kiasi gani, hebu tuambieni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 1, 2026 #23 Kila la kheri zake... Cc: Mahondaw
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,590 Jan 1, 2026 #24 Chrysanthemum said: Hivi walimkosa kweli π, au walimpotezea tu ! Kumbe inawezekana kuwa hapa hapa kwa nyerere na wasikudake Click to expand... Ukiwa na pesa na chakula na ukaacha wasiliana na watu
Chrysanthemum said: Hivi walimkosa kweli π, au walimpotezea tu ! Kumbe inawezekana kuwa hapa hapa kwa nyerere na wasikudake Click to expand... Ukiwa na pesa na chakula na ukaacha wasiliana na watu
Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,969 Reaction score 7,137 Jan 1, 2026 #25 HIMARS said: Ukiwa na pesa na chakula na ukaacha wasiliana na watu Click to expand... Ila kweli maana wale washkaji wanaofanya mauaji wakakimbia utasikia katoka dar wamemkamatia Kahama π
HIMARS said: Ukiwa na pesa na chakula na ukaacha wasiliana na watu Click to expand... Ila kweli maana wale washkaji wanaofanya mauaji wakakimbia utasikia katoka dar wamemkamatia Kahama π