VIDEO: Baada ya kumsikiliza huyu mjumbe wa CHADEMA nimebubujikwa na machozi

Huenda ni kweli Mbowe hatakiwi na wengi ajitafakari aache kuendeshwa na hao COVID-19
View attachment 3185442
Kuna mtu hataki kusoma alama za nyakati.. ngoja aje aanze kujutia kukaza shingo. Binafsi, niseme tu ukweli kwamba dingi wangu ni ccm damu na alikuwa hata diwani kwa awamu 3. Mwaka 2000, siku wananchi walipo chagua chadema, ndio nikajua ni nini wananchi wanataka, sasa na yeye FAM anasubiri mpaka abwagwe kwenye sanduku ndio akili zimrudie. Na dingi alikoma kabisa kuendelea na siasa baada ya hapo, ile heshima yake aliyojingea yote ikamwagika pwaa. Bila kusahau kwamba alikuwa pia hakimu mkuu wa Mkoa fulani hapa nchini, hiyo heshima yake pia aliibwaga baada ya wanahci kufanya maamuzi yao. Mbowe kama hataki, ndiko kinacho enda kumtokea asipo stuka mapema na kuacha TAL aendelee.
 
Hizo fedha anazipata wapi mbona hajapeleka jimboni kwakwe wakati akiwa mbunge
 
Kuna mtu hataki kusoma alama za nyakati.. ngoja aje aanze kujutia kukaza shingo. Binafsi, niseme tu ukweli kwamba dingi wangu ni ccm damu na alikuwa hata diwani kwa awamu 3. Mwaka 2000, siku wananchi walipo chagua chadema, ndio nikajua ni nini wananchi wanataka, sasa na yeye FAM anasubiri mpaka abwagwe kwenye sanduku ndio akili zimrudie. Na dingi alikoma kabisa kuendelea na siasa baada ya hapo, ile heshima yake aliyojingea yote ikamwagika pwaa. Bila kusahau kwamba alikuwa pia hakimu mkuu wa Mkoa fulani hapa nchini, hiyo heshima yake pia aliibwaga baada ya wanahci kufanya maamuzi yao. Mbowe kama hataki, ndiko kinacho enda kumtokea asipo stuka mapema na kuacha TAL aendelee.
Nimeumia sana
 
Hapana hapana hapana, Mbowe bado ni bora zaidi ya Tundu Lissu, kwa mambo mengi mno, hata kidogo huwezi mlinganisha Mbowe na Lissu, nasema kwa uwazi, CHADEMA itapotea kabisa ikiwa chini ya Lissu..!! Mbowe bado tunamhitaji sana.
 
Kuna mtu hataki kusoma alama za nyakati.. ngoja aje aanze kujutia kukaza shingo. Binafsi, niseme tu ukweli kwamba dingi wangu ni ccm damu na alikuwa hata diwani kwa awamu 3. Mwaka 2000, siku wananchi walipo chagua chadema, ndio nikajua ni nini wananchi wanataka, sasa na yeye FAM anasubiri mpaka abwagwe kwenye sanduku ndio akili zimrudie. Na dingi alikoma kabisa kuendelea na siasa baada ya hapo, ile heshima yake aliyojingea yote ikamwagika pwaa. Bila kusahau kwamba alikuwa pia hakimu mkuu wa Mkoa fulani hapa nchini, hiyo heshima yake pia aliibwaga baada ya wanahci kufanya maamuzi yao. Mbowe kama hataki, ndiko kinacho enda kumtokea asipo stuka mapema na kuacha TAL aendelee.
Mtu MZIMA ATISHIWI NYAU..😊😊
 
Back
Top Bottom