VIDEO: Baada ya kumsikiliza huyu mjumbe wa CHADEMA nimebubujikwa na machozi

VIDEO: Baada ya kumsikiliza huyu mjumbe wa CHADEMA nimebubujikwa na machozi

Hapana hapana hapana, Mbowe bado ni bora zaidi ya Tundu Lissu, kwa mambo mengi mno, hata kidogo huwezi mlinganisha Mbowe na Lissu, nasema kwa uwazi, CHADEMA itapotea kabisa ikiwa chini ya Lissu..!! Mbowe bado tunamhitaji sana.
Machawa na wanufaika lazima mumtetee bwana wenu
 
Huenda ni kweli Mbowe hatakiwi na wengi ajitafakari aache kuendeshwa na hao COVID-19
View attachment 3185442
Mkuu 'Mbangaizaji', tukiweka pembeni huu ukorofi wa Mbowe kwa haya yanayo endelea, nadhani unayo sababu ya kumshukuru yeye Mbowe kwa kukupa jina ambalo linatuhusu wengi wetu. Wengi wetu tu 'Wabangaizaji'; tofauti kabisa na yeye Mbowe na hao wafadhili wake wanao mpa msukumo aendelee kutufanya wabangaizaji wa kudumu.

Baada ya kuyasema hayo, ninakubaliana na wewe na nyote mlio shiriki kwenye video hiyo iliyopo hapo juu. Matumaini yetu ni kuwa mwamko huu utakuwa umeenea sehemu mbalimbali nchini; na huu utakuwa ni mwanzo mzuri kwa CHADEMA Mpya, baada ya akina Mbowe kufagiliwa mbali.

Niulize - hiyo" Kemondo" ni Kemondo ipi?
 
Jambo linalosumbua machawa wa mbowe ni hofu ya kumpa uenyekiti wa chama mtu tofauti na Freeman Mbowe
 
Hapana hapana hapana, Mbowe bado ni bora zaidi ya Tundu Lissu, kwa mambo mengi mno, hata kidogo huwezi mlinganisha Mbowe na Lissu, nasema kwa uwazi, CHADEMA itapotea kabisa ikiwa chini ya Lissu..!! Mbowe bado tunamhitaji sana.
1000211802.jpg
 
Mbowe hana habari,tuko nae hapa moshi tunapiga makonyagi.
 
Hapana hapana hapana, Mbowe bado ni bora zaidi ya Tundu Lissu, kwa mambo mengi mno, hata kidogo huwezi mlinganisha Mbowe na Lissu, nasema kwa uwazi, CHADEMA itapotea kabisa ikiwa chini ya Lissu..!! Mbowe bado tunamhitaji sana.
Chadema itapoteaje kabisa wakati miaka mitano ijayo Kuna option ya kumchagua mgombea mwingine?
 
Hapana hapana hapana, Mbowe bado ni bora zaidi ya Tundu Lissu, kwa mambo mengi mno, hata kidogo huwezi mlinganisha Mbowe na Lissu, nasema kwa uwazi, CHADEMA itapotea kabisa ikiwa chini ya Lissu..!! Mbowe bado tunamhitaji sana.
“Ni Bora SLAA Awe Rais Kuliko TUNDU LISSU Kuwa MBUNGE Maana Anasumbua Mno Kwa HOJA Zake”

~JAKAYA KIKWETE mwaka 2012
 
Wajumbe wamekaza. Mpango wa Lissu kupeleka fedha mashinani unafaa sana. Sio mtu mmoja anastarehe halafu sisi vijijini tunateseka
Hili nalo neno, sasa chama kina stawi vipi kama mashina yana hali mbaya? Hiko chama kina sambaaje?
He has a point
 
Back
Top Bottom