VIDEO: Baada ya Kuokoka Tattoo zamtesa Munalove, huku Patrick kushikilia bango zifutwe

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Msanii wa filamu tanzania (BONGO MOVIE), Munalove rafiki wa zamani wa wemasepetu, amesema kuwa anaumia sana kuwa na tattoo mwilini mwake zimekuwa maumivu makubwa sana na kupelekea kutokuelewana kati yake n mwanae, hivyo anatafuta sehemu ya kuzifuta kwani nae ameshaokoka.

Source: Muungwana Blog​
 
Dada mpendwa. Nimrkusikiliza vizuri nimepata shauku vile Bwana Yesu alivyokupenda akakuokoa....wewe na mwanzo Patrick. Mungu asifiwe sana. [emoji108]Kwanza kabisa mahukuru sana Mungu kukuokoa. Ikiwa unafahamu VEMA maana ya KUOKOKA... Hapo ndipo sehemu Yako yakuanzia!!! Baada ya mtu KUOKOKA tu YOTE YALIOPITA HAYANA NAFASI TENA AU niseme ukiisha samehewa dhambi zote wewe umekuwa kumbe KIPYAAAAA YALE YAKALE HAYAHESABIWI!!! TENA!!!...AMINI 100% DHAMBI ZAKO ZOTE ZINAFUTWA UNAKUWA KIUMBE KIPYAAA. GANGA YAJAO TH. WAKATI UNAJICHORA AU VIPI ULIKUWA HUJUI! YESU AMEKUOKOA WWW KUKUPENDA KWA NEEMA YAKE. Dada hutahesabiwa hiyo kuwa dhambi hata siku moja. Kabla Mau hajaokoka amekuwa ametenda maombi mengi sana LAKINI KWA HUTUMA ZA YESU ANAKUOKOA AU KUKUSAMEHE DHAMBI ZOTEEEE. Hivyo nafsi yako isikuhukumu kabisa. Nakushauri ongea na Patrick kwa upendo ili aekewe tena nakushauri SANA UENDE kabisa kanisa p.a. Wokovu lile kwenye MAFUNDISHO YA UZIMA...EPUKANA N.A. MANABII. E.G. Mwone Mchungaji Kimaro wa hapo Dar ...au pale International Pentecost church Kinondoni...opposite na makaburi ya Kinondoni? Mimi niko mkoani ila niko tayari kusimama na kukusaidia wakati wo wote ni mama mtu mzima nilikutana na YESU miaka mi gi....0622 302006. Mungu akutetee kila iitwapo Leo.
 
Andika ukiwa umetulia basi.....
Tatoo huwa zinafutika unapigwa mionzi...
Halafu huyo Muna hayupo JF.
 
Achane kucheza na Imani, hivi huyo mwanae anafatiria tattoo kweli
 
Huyo dada watu wamemsahau kaamua kuja vingine,achukue kifutio cha ubao afutie
 
Kaokoka roho yaliyo haribu mwili achana nayo muna yesu akikusamehe anasamehe kila kitu moyo wako safi na matendo yanatosha
 
Allahu Akbar,Mungu Mkubwa,Glory to God.,,,,,Nilimsikiliza kupitia EA Radio kweli ameokoka baada ya maajabu aliyotendewa na Mungu kupitia mwanae.
 
Kweli kuna watu na viatu sasa anataka tumchangie ndo akafute tattoo huyu dada kaamua kua taperi
 
Back
Top Bottom