VIDEO: Best speech ya Makonda, tumekaribia nchi ya ahadi, hii video inanipa moyo sana

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
The best speech ever kutoka kwa mkuu wa mkoa bora kabisa tangu hii nchi ipate uhuru,tumekaribia kufika nchi ya ahadi TUPO PAZURI MNOO,NARUDIA TUPO PAZURI MNOOO
Watakuja hapa vibaraka wa mabeberu kupinga lakini nakuhakikishia KISHINDO CHA AWAMU YA TANO kimegonga kote duniani na heshima ya nchi yetu imepaaa mnooo hata Nyerere hakufikia level hizi za JPM na team yake ya awamu ya tano.JPM OYEE,MAKONDA OYEEE,VIVA CCM MPYA.

Uharo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie akina ngosha mtakufa na gonjwa kwa ajili ya kusifia wajinga wenzenu.
 
Uko tayari hata kumlamba makaaaa..alio yake
 
Back
Top Bottom