Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza kuongoza magari kutoka barabara ya lami na kuelekea njia ya vumbi ambayo haijulikani inaenda wapi.
Taarifa za chini chini zinadai kuwa huyo mwamba anatafutwa na jeshi la Polisi Kenya ili kuwajibishwa.
Taarifa za chini chini zinadai kuwa huyo mwamba anatafutwa na jeshi la Polisi Kenya ili kuwajibishwa.