- Thread starter
- #21
Uligombea?!Nmekumbuka heka heka za 2015 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uligombea?!Nmekumbuka heka heka za 2015 😃
Kwa sauti na ngoma hiyo ni watu wa pwani fulani hao.Hata hivyo uchaguzi wao ni ovyo kabisa.Aisee...waliimba wapi? Akina nani? Kulikuwa na nini? Kwanini? Lini?
Muda wakutuliza komwe sasaWeeee sina hamu matokeo yanasomwa na jaji nilipata homa....sitaki tena heka heka mie, naangalia tumbo langu tu.
Hapana nilikua tu mkereketwa, shabiki kindakindakiUligombea?!
Kuwa bora muuaji corona kuliko mwanaki🍀😂Sijaelewa unamaanisha nini