B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Sep 6, 2023 Thread starter #21 Evelyn Salt said: Nmekumbuka heka heka za 2015 π Click to expand... Uligombea?!
Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 Sep 6, 2023 #22 Petro E. Mselewa said: Aisee...waliimba wapi? Akina nani? Kulikuwa na nini? Kwanini? Lini? Click to expand... Kwa sauti na ngoma hiyo ni watu wa pwani fulani hao.Hata hivyo uchaguzi wao ni ovyo kabisa.
Petro E. Mselewa said: Aisee...waliimba wapi? Akina nani? Kulikuwa na nini? Kwanini? Lini? Click to expand... Kwa sauti na ngoma hiyo ni watu wa pwani fulani hao.Hata hivyo uchaguzi wao ni ovyo kabisa.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Sep 6, 2023 #23 Evelyn Salt said: Weeee sina hamu matokeo yanasomwa na jaji nilipata homa....sitaki tena heka heka mie, naangalia tumbo langu tu. Click to expand... Muda wakutuliza komwe sasa
Evelyn Salt said: Weeee sina hamu matokeo yanasomwa na jaji nilipata homa....sitaki tena heka heka mie, naangalia tumbo langu tu. Click to expand... Muda wakutuliza komwe sasa
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Sep 6, 2023 #24 Burkinabe said: Uligombea?! Click to expand... Hapana nilikua tu mkereketwa, shabiki kindakindaki
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Sep 6, 2023 #25 stow away said: Sijaelewa unamaanisha nini Click to expand... Kuwa bora muuaji corona kuliko mwanakiππ
stow away said: Sijaelewa unamaanisha nini Click to expand... Kuwa bora muuaji corona kuliko mwanakiππ