Video calls

Video calls

Apo inaonesha mahusiano yenu yako katika early stage. Ukikaa nae zaidi ya miezi 6 basi hautajiuliza ilo suala mana atakua kakujua ukiamka, ukiwa huna wigi, hauna make-up. Huwezi kuta wanandoa au mahusiano ya muda mrefu wanauliza ilo swali.
 
Back
Top Bottom