micind
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 377
- 980
Baba mchungaji,padre, askofu ,shekhe na kiongozi yoyote yule Wa kiimani hao wote ni binadamu na sifa kuu ya binadamu anatenda dhambi, na kati yao hao wote hakuna anayeabudiwa wao wanatumika tu kama daraja kati ya waumini na mungu, kwa hiyo MTU ukienda nyumba ya ibada usikilize neno mtumishi analotoa na likukuze kiimani basi.hayo yakwamba anazini,anaiba anafanya dhambi gani sjui ni ubinadamu wake na atadill na mungu wake.