Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
58468543_133331064501459_8241960863914107118_n.jpg
 
Mambo mengi muda hautoshi

Halafu utamkuta kanisani anamtoa mtu jini mahaba.......
Hii michepuko ya dini sio mizuri ndugu zangu tubaki njia kuu!
Hahahaha mbona jini mahaba
 
kumekuwa na maoni mbali mbali kuhusu video inayoonekana kama ni ya baba askofu.
napenda kusema tusiwe wepesi kuamini kila kitu cha mitandao. yapo maswali Mengi sana ya kujiuliza

1. Gwajima ni mjinga kiasi Gani wakati ameoa afanye uzinzi alafu ajirekodi na aache hizo kumbukumbu kwenye simu au kompyuta wakati ana mke na watoto?

2. Upi uhalisia wa hiyo video maana inaonyesha kama kuna utofauti na gwajima halisi

3. Hizo video nani kathibitisha kua ni halisi?

4. Je ni halali kusambaza mambo ya siri au faragha ya watu kwenye mitandao kwa kuzingatia sheria za nchi yetu hasa kwenye makundi?

5. je hakuna hila yoyote inayoweza kufanyika dhidi ya Gwajima ili kuharibu huduma yake na taswira yake kwenye jamii?

6. unapofurahia na kushadadia kusambaza video hiyo, julize ingekuwa ni baba yako ungefanya hivyo?

7. Gwajima ana amaadui wangapi?

8. Lengo la hizo picha ni nini?kumdhalisha gwajima na imani yake ? kudhalilisha ukristo? na kama ni hivyo je unajisikiaje unapodhalilisha ukristo? Gwajima ni mtu tu mwenye mapungufu kama Daudi, Samsoni, na Eliya na wengine wengi

watanzania, tusiwe wepesi kuamini kila kitu, pia tusiwe wepesi kuhukumu watu kwa vitu rahisi vya mtandaoni.
Mimi naomba tu Imani ya kikristo isihusianishwe na mambo binafsi ya wanadamu. Mungu ni mkubwa kuliko ukubwa wenyewe. ni Mungu mwenye enzi yite na asiyeelezeka. hata kama ingekuwa kweli, sio Jambo la ajabu.

Alizini Daudi na kuua kabisa, Gwajima ni nani?

Tujiangalie maisha na mienendo yetu kabla ya kuhukumu na kufurahia anguko la wengine
 
kumekuwa na maoni mbali mbali kuhusu video inayoonekana kama ni ya baba askofu.
napenda kusema tusiwe wepesi kuamini kila kitu cha mitandao. yapo maswali Mengi sana ya kujiuliza

1. Gwajima ni mjinga kiasi Gani wakati ameoa afanye uzinzi alafu ajirekodi na aache hizo kumbukumbu kwenye simu au kompyuta wakati ana mke na watoto?

2. Upi uhalisia wa hiyo video maana inaonyesha kama kuna utofauti na gwajima halisi

3. Hizo video nani kathibitisha kua ni halisi?

4. Je ni halali kusambaza mambo ya siri au faragha ya watu kwenye mitandao kwa kuzingatia sheria za nchi yetu hasa kwenye makundi?

5. je hakuna hila yoyote inayoweza kufanyika dhidi ya Gwajima ili kuharibu huduma yake na taswira yake kwenye jamii?

6. unapofurahia na kushadadia kusambaza video hiyo, julize ingekuwa na baba yako ungefanya hivyo?

7. Gwajima ana amaadui wangapi?

8. Lengo la hizo picha ni nini?kumdhalisha gwajima na imani yake ? kudhalilisha ukristo? na kama ni hivyo je unajisikiaje unapodhalilisha ukristo? Gwajima ni mtu tu mwenye mapungufu kama Daudi, Samsoni, na Eliya na wengine wengi

watanzania, tusiwe wepesi kuamini kila kitu, pia tusiwe wepesi kuhukumu watu kwa vitu rahisi vya mtandaoni.
Mimi naomba tu Imani ya kikristo isihusianishwe na mambo binafsi ya wanadamu. Mungu ni mkubwa kuliko ukubwa wenye. ni Mungu mwenye enzi na asoyeelezeka. hata kama ingekuwa kweli, sio Jambo la ajabu.

Alizini Daudi na kuua kabisa, gwajima ni nani?

Umekuja kumtetea zaidi kuliko kuwasilosha hoja!
 
Fuateni vitabu vitakatifu au maandiko matakatifu na si watu! Ndo maana kwenye bible imesema amtegemeae binadamu ataangamia!
Acha ujinga wewe yani mchungaji au sheikh awe mwizi au jambazi halafu bado tuendelee kumfuata kwa sababu siyo yeye ni msahafu ?.hao waumini watakua wajinga waliopindukia.
 
kumekuwa na maoni mbali mbali kuhusu video inayoonekana kama ni ya baba askofu.
napenda kusema tusiwe wepesi kuamini kila kitu cha mitandao. yapo maswali Mengi sana ya kujiuliza

1. Gwajima ni mjinga kiasi Gani wakati ameoa afanye uzinzi alafu ajirekodi na aache hizo kumbukumbu kwenye simu au kompyuta wakati ana mke na watoto?

2. Upi uhalisia wa hiyo video maana inaonyesha kama kuna utofauti na gwajima halisi

3. Hizo video nani kathibitisha kua ni halisi?

4. Je ni halali kusambaza mambo ya siri au faragha ya watu kwenye mitandao kwa kuzingatia sheria za nchi yetu hasa kwenye makundi?

5. je hakuna hila yoyote inayoweza kufanyika dhidi ya Gwajima ili kuharibu huduma yake na taswira yake kwenye jamii?

6. unapofurahia na kushadadia kusambaza video hiyo, julize ingekuwa na baba yako ungefanya hivyo?

7. Gwajima ana amaadui wangapi?

8. Lengo la hizo picha ni nini?kumdhalisha gwajima na imani yake ? kudhalilisha ukristo? na kama ni hivyo je unajisikiaje unapodhalilisha ukristo? Gwajima ni mtu tu mwenye mapungufu kama Daudi, Samsoni, na Eliya na wengine wengi

watanzania, tusiwe wepesi kuamini kila kitu, pia tusiwe wepesi kuhukumu watu kwa vitu rahisi vya mtandaoni.
Mimi naomba tu Imani ya kikristo isihusianishwe na mambo binafsi ya wanadamu. Mungu ni mkubwa kuliko ukubwa wenye. ni Mungu mwenye enzi na asoyeelezeka. hata kama ingekuwa kweli, sio Jambo la ajabu.

Alizini Daudi na kuua kabisa, gwajima ni nani?

Tujiangalie maisha na mienendo yetu kabla ya kuhukumu na kufurahia anguko la wengine

Kaka hapa unamzungumzia Daudi gani ? Daudi mtume au ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom