Hawa viongozi wanaojifanya mitume ni wakuogopa kama ukoma.na Mungu hutafuta namna ya kuwaumbua ili watu wenye akili wajionee.ila makondoo yake hapo yatakwambia mungu anamtumia nabii wake kuwaonesha waumini namna ya kut.ombana.Zile picha hazifai kuwekwa hapa..
Ni yeye bhana!!! Kama sie basi aje akanushe mwenyewe!!! Au tusubiri jumapili akiliamsha dude kanisani?kumekuwa na maoni mbali mbali kuhusu video inayoonekana kama ni ya baba askofu.
napenda kusema tusiwe wepesi kuamini kila kitu cha mitandao. yapo maswali Mengi sana ya kujiuliza
1. Gwajima ni mjinga kiasi Gani wakati ameoa afanye uzinzi alafu ajirekodi na aache hizo kumbukumbu kwenye simu au kompyuta wakati ana mke na watoto?
2. Upi uhalisia wa hiyo video maana inaonyesha kama kuna utofauti na gwajima halisi
3. Hizo video nani kathibitisha kua ni halisi?
4. Je ni halali kusambaza mambo ya siri au faragha ya watu kwenye mitandao kwa kuzingatia sheria za nchi yetu hasa kwenye makundi?
5. je hakuna hila yoyote inayoweza kufanyika dhidi ya Gwajima ili kuharibu huduma yake na taswira yake kwenye jamii?
6. unapofurahia na kushadadia kusambaza video hiyo, julize ingekuwa na baba yako ungefanya hivyo?
7. Gwajima ana amaadui wangapi?
8. Lengo la hizo picha ni nini?kumdhalisha gwajima na imani yake ? kudhalilisha ukristo? na kama ni hivyo je unajisikiaje unapodhalilisha ukristo? Gwajima ni mtu tu mwenye mapungufu kama Daudi, Samsoni, na Eliya na wengine wengi
watanzania, tusiwe wepesi kuamini kila kitu, pia tusiwe wepesi kuhukumu watu kwa vitu rahisi vya mtandaoni.
Mimi naomba tu Imani ya kikristo isihusianishwe na mambo binafsi ya wanadamu. Mungu ni mkubwa kuliko ukubwa wenye. ni Mungu mwenye enzi na asoyeelezeka. hata kama ingekuwa kweli, sio Jambo la ajabu.
Alizini Daudi na kuua kabisa, gwajima ni nani?
Tujiangalie maisha na mienendo yetu kabla ya kuhukumu na kufurahia anguko la wengine
😂 😂 😂 😂Ndo umeamka mida hii nini??
NdiyoKaka hapa unamzungumzia Daudi gani ? Daudi mtume au ?
Wewe ni nani mpaka upewe urhibitisho, jamaa yako ni mzinzi wa kutupwa video zake 3 za X ninazo na ww zifute kivyako isituingize hatiani na TCRA nenda instragam zipo kajirekodiAcha kusema uwongo, thibitisha hayo usemayo...weka video au toa chanzo watu wathibitishe wenyewe
Ndiyo
Kaka hapa unamzungumzia Daudi gani ? Daudi mtume au ?
Tukiwaambia acheni mzaha na Mungu,atawapiga vibao jua la saa saba mchana wanakuwa wakali,ona leo mtu anaumbuka.....asije tu akajiua kuficha aibu hii....Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.
Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.
Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.
Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .
Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaaView attachment 1090460
True potezeakumekuwa na maoni mbali mbali kuhusu video inayoonekana kama ni ya baba askofu.
napenda kusema tusiwe wepesi kuamini kila kitu cha mitandao. yapo maswali Mengi sana ya kujiuliza
1. Gwajima ni mjinga kiasi Gani wakati ameoa afanye uzinzi alafu ajirekodi na aache hizo kumbukumbu kwenye simu au kompyuta wakati ana mke na watoto?
2. Upi uhalisia wa hiyo video maana inaonyesha kama kuna utofauti na gwajima halisi
3. Hizo video nani kathibitisha kua ni halisi?
4. Je ni halali kusambaza mambo ya siri au faragha ya watu kwenye mitandao kwa kuzingatia sheria za nchi yetu hasa kwenye makundi?
5. je hakuna hila yoyote inayoweza kufanyika dhidi ya Gwajima ili kuharibu huduma yake na taswira yake kwenye jamii?
6. unapofurahia na kushadadia kusambaza video hiyo, julize ingekuwa na baba yako ungefanya hivyo?
7. Gwajima ana amaadui wangapi?
8. Lengo la hizo picha ni nini?kumdhalisha gwajima na imani yake ? kudhalilisha ukristo? na kama ni hivyo je unajisikiaje unapodhalilisha ukristo? Gwajima ni mtu tu mwenye mapungufu kama Daudi, Samsoni, na Eliya na wengine wengi
watanzania, tusiwe wepesi kuamini kila kitu, pia tusiwe wepesi kuhukumu watu kwa vitu rahisi vya mtandaoni.
Mimi naomba tu Imani ya kikristo isihusianishwe na mambo binafsi ya wanadamu. Mungu ni mkubwa kuliko ukubwa wenye. ni Mungu mwenye enzi na asoyeelezeka. hata kama ingekuwa kweli, sio Jambo la ajabu.
Alizini Daudi na kuua kabisa, gwajima ni nani?
Tujiangalie maisha na mienendo yetu kabla ya kuhukumu na kufurahia anguko la wengine
Naomba ushahidi wa mtume Daudi kama alizini ?
Unadhani Nabii Suleiman alizaliwa kwa ndoa ?
Kweli punguani hawaishi ndio maana kwenye maandiko alisema "mnaweza kuona msipate kufahamu na mnaweza kusikia msipate kuelewa"kumekuwa na maoni mbali mbali kuhusu video inayoonekana kama ni ya baba askofu.
napenda kusema tusiwe wepesi kuamini kila kitu cha mitandao. yapo maswali Mengi sana ya kujiuliza
1. Gwajima ni mjinga kiasi Gani wakati ameoa afanye uzinzi alafu ajirekodi na aache hizo kumbukumbu kwenye simu au kompyuta wakati ana mke na watoto?
2. Upi uhalisia wa hiyo video maana inaonyesha kama kuna utofauti na gwajima halisi
3. Hizo video nani kathibitisha kua ni halisi?
4. Je ni halali kusambaza mambo ya siri au faragha ya watu kwenye mitandao kwa kuzingatia sheria za nchi yetu hasa kwenye makundi?
5. je hakuna hila yoyote inayoweza kufanyika dhidi ya Gwajima ili kuharibu huduma yake na taswira yake kwenye jamii?
6. unapofurahia na kushadadia kusambaza video hiyo, julize ingekuwa na baba yako ungefanya hivyo?
7. Gwajima ana amaadui wangapi?
8. Lengo la hizo picha ni nini?kumdhalisha gwajima na imani yake ? kudhalilisha ukristo? na kama ni hivyo je unajisikiaje unapodhalilisha ukristo? Gwajima ni mtu tu mwenye mapungufu kama Daudi, Samsoni, na Eliya na wengine wengi
watanzania, tusiwe wepesi kuamini kila kitu, pia tusiwe wepesi kuhukumu watu kwa vitu rahisi vya mtandaoni.
Mimi naomba tu Imani ya kikristo isihusianishwe na mambo binafsi ya wanadamu. Mungu ni mkubwa kuliko ukubwa wenye. ni Mungu mwenye enzi na asoyeelezeka. hata kama ingekuwa kweli, sio Jambo la ajabu.
Alizini Daudi na kuua kabisa, gwajima ni nani?
Tujiangalie maisha na mienendo yetu kabla ya kuhukumu na kufurahia anguko la wengine
Mzee hujaiona video nabii akila mzigo? Nipe namba nikurushie watsapSidhani kama ni kweli, itakuwa anachafuliwa, labda ile ya kifua wazi. Lakini tujifunze jambo moja, si vizuri kushiriki kumchafua mtumishi wa Mungu, tusisahau ana watu wengi waliomuamini Kristo kupitia yeye. Mimi ni Mkatoliki lakini natambua nafasi ya mtumishi yeyote wa Mungu hata kama si dhehebu langu. Tukumbuke habari za Nuhu kwenye mwanzo 9: 20-23 jinsi alivyolewa hadi kubakia uchi, mtoto wake wa kwanza alivyomuona akaenda kuwaambia wenzake na mmoja wao ndio akaenda kumfunika. Yule mtoto aliyeshindwa kumsitiri baba yake alilaaniwa! ( hapo kwa dunia ya sasa tungemuona huyo mzee mdhambi kwa kunywa pombe! lakini maandiko yanaonesha laana ilikokwenda). Usishiriki kumchafua mchungaji Gwajima maana haitokuongezea au kupunguza kitu. Heshimu utu wake.
Tulimalize hili kwanza,kisha tuje huku.
Hakuna hoja hapo nenda kalalekumekuwa na maoni mbali mbali kuhusu video inayoonekana kama ni ya baba askofu.
napenda kusema tusiwe wepesi kuamini kila kitu cha mitandao. yapo maswali Mengi sana ya kujiuliza
1. Gwajima ni mjinga kiasi Gani wakati ameoa afanye uzinzi alafu ajirekodi na aache hizo kumbukumbu kwenye simu au kompyuta wakati ana mke na watoto?
2. Upi uhalisia wa hiyo video maana inaonyesha kama kuna utofauti na gwajima halisi
3. Hizo video nani kathibitisha kua ni halisi?
4. Je ni halali kusambaza mambo ya siri au faragha ya watu kwenye mitandao kwa kuzingatia sheria za nchi yetu hasa kwenye makundi?
5. je hakuna hila yoyote inayoweza kufanyika dhidi ya Gwajima ili kuharibu huduma yake na taswira yake kwenye jamii?
6. unapofurahia na kushadadia kusambaza video hiyo, julize ingekuwa na baba yako ungefanya hivyo?
7. Gwajima ana amaadui wangapi?
8. Lengo la hizo picha ni nini?kumdhalisha gwajima na imani yake ? kudhalilisha ukristo? na kama ni hivyo je unajisikiaje unapodhalilisha ukristo? Gwajima ni mtu tu mwenye mapungufu kama Daudi, Samsoni, na Eliya na wengine wengi
watanzania, tusiwe wepesi kuamini kila kitu, pia tusiwe wepesi kuhukumu watu kwa vitu rahisi vya mtandaoni.
Mimi naomba tu Imani ya kikristo isihusianishwe na mambo binafsi ya wanadamu. Mungu ni mkubwa kuliko ukubwa wenye. ni Mungu mwenye enzi na asoyeelezeka. hata kama ingekuwa kweli, sio Jambo la ajabu.
Alizini Daudi na kuua kabisa, gwajima ni nani?
Tujiangalie maisha na mienendo yetu kabla ya kuhukumu na kufurahia anguko la wengine
Unadhani Nabii Suleiman alizaliwa kwa ndoa ?
Naomba unirushie pm sijaionaVideo siwezi kuiweka hapa maadili hayaruhusu