Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Wewe mie huwezi niambia lolote kuhusu ile clip ikiwa niko timamu na sijalewa kilaji chochote.
 
Hii nyuzi nayo itafyekelewa mbali kama ile ya asubuhi iliyokuja bila picha lakini ikafyekelewa mbali...hahahah!!!
 
Poor analysis, inamaana ww hata sura ya gwajima huijui?? ina maana hata sauti ya gwajima huijui? ile camera ni mwenyewe alikuwa akijirekodi, ni rahisi kucheza na still picture ila siyo moving picture, video!! labda kama umeona kioande kidogo tu.. kama umeona video nzima utaelewa unatetea usichokijua
 
Kajiangusha mwenyewe kwenye tope
 
Acheni ujanja ujanja mwingi. Hili jambo kulitetetea ni ngumu sana.
 
Labda kavujisha mwenyewe kutafuta Kiki
 
Wewe mie huwezi niambia lolote kuhusu ile clip ikiwa niko timamu na sijalewa kilaji chochote.
Mkuu hiyo video sijaiona,nimeona akiwa yeye kifua wazi kisha picha,sasa mimi si kama wewe naenda extra mile,Tulia si kwamba nasema hiyo video ni ya kweli au uongo kwani sijaiona ila walioiona kuna maelezo wametoa kuonyesha ni fake nitayaleta.Lakini pia nitakupa scandal iliyomkuta kiongozi wa Iran taratibu utanielewa,hizo ni fani za watu tulia nitatoa maelezo wewe kama unayo na una akili timamu utaamua.
With technology anything is possible,be patient mkuu.Niko nasoma watu wamepokea
je,nitaleta walioiona wamesemaje kisha utatumia na akili zako kujua kama ni kweli au video editing.Lakini wakati unasubilia jua Gwajima hana akili ndogo ya kufanya hayo mambo na kujirekodi mwenyewe please note siko hapa kusema ni video ya kweli au ya uongo nataka watu wafikirie na si kufollow the crowd.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…