Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
[emoji973][emoji973]KUHUSU PURPOTEDLY "VIDEO CHAFU" YA GWAJIMA

Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo watu wanasema ni ya Gwajima. Nilikuwa ofisini leo, rafiki yangu akaja na kusema, "Umeona Gwajima alichofanya?"

Nimeiangalia ile video lkn kwa sekunde chache tu nimegundua kuwa ni "fake video." So nikabidi nimpe soma yule kijana ile asiamini kila kitu kinachorushwa mitandaoni.

Now allow me to elaborate (nifafanue) kwanini nashawishika kusema kuwa ile video SIO ya Gwajima.

Kuna kitu kitaalamu kinaitwa "photoshopping," ambacho huyu jamaa alijaribu kukitumia lakini akashidwa ku-excute vizuri. Basically, Photoshopping is the process of altering (a digital image) with Photoshop software or other image-editing software especially in a way that distorts reality (as for deliberately deceptive purposes).

Kwa tafsiri ya Kiswahili, hiki ni kitendo cha kubadilisha picha kwa kutumia software maalum za kuhariri picha kwa kusudi la kupotosha kwa ajili ya kufanya udanganyifu wa makusudi.

1). Alichokifanya huyu jamaa aliyetuma hizi picha ni kuchukua video halisi ya Gwajima (ile video ya kwanza aliyokuwa amepumzika kitandani kifua wazi), halafu akaamua kulaghai umma kwa kuweka chini yake video nyingine za mtu tofauti kabisa (anayefanana kwa mbali na Gwajima), ili kuwaaminisha watu kuwa aliyepo kwenywe ile video ya chini ni Gwajima. Kwa mtizamo wangu binafsi aliyeko kwenye video ya pili sio Gwajima.

2). Hebu ichunguze video ile kwa makini. Utagundua (angalia angle ya Camera), kuwa ile video ilikuwa inarekodiwa na mtu mwingine tofauti na Gwajima. Evidence: Kwanza hakutaka sura ya "fake Gwajima" ionekane. Why? Kwasababu alijua akimulika Camera direct usoni kwa huyo anayesemwa kuwa ni Gwajima, watu wenye akili timamu watagundua kuwa sio Gwajima yule. So alichokifanya alikuwa anakwepesha Camera ismulike usoni.

3). Gwajima ni mtu mjanja sana hawezi akaruhusu afanye mapenzi hali akijua kuwa ana maadaui wengi sana wasiomtakia mema huku akiruhusu mtu mwingine arekodi video. Hata kama ni mimi nisiye na maadui wengi wa kisiasa nisingweza kufanya such a rockie mistake. Kwanini nasema vivyo? Nasema hivyo kwasababu, ukiangalia ile video vizuri, utaona kuwa kuna kipindi mtu aliyekuwa anarekodi alikosea kidogo Camera ikamulika usoni kwa "fake Gwajima".... then faster, "fake Gwajima" akanyoosha mkono kukinga ili asionekane usoni. Sasa kama kweli alikuwa Gwajima, kwanini video ya kwanza (ambayo haisusiani kabisa na hii ya uchafu wa kijinga unaosambaa mitandaoni, yaani video ya pili) ghafla aamue kuficha sura hali ameshajiachia na kujionyesha kwenye video ya kwanza? Think people! Acha mihemuko!

4). Kingine, yule Binti aliyeko kwenye picha ya kwanza ni kaportable fulani. Mwembamba mwenye superb figure. But huyu aliyeko kwenye hii "fake video" ya pili ananekana ana kitambi / katumbo. Wapi na wapi mazee....!!

Aliyefanya huu ushenzi inabidi asakwe alafu afungwe miaka mingi sana ili suala kama hili lisijirudie tena!

I rest my case. You decide.

Me, Gustanza the Great.
Mkuu nashukuru kwa hayo nami nilitaka niyalete Extrovert haya maelezo yapitie kama unmeiona soma kwa makini haya maelezo je yana ukweli?
 
Hivi kama tunashindwa kutumiana video hii tutasaidiana kwenye mambo makubwa kweli? tumeni hiyo video kwa pm yang aisee
Ukiachia jina kubwa la Baba Askofu lakini haina lolote la kushangaza ni video ya kawaida ya mahaba sio ya ngono!! Video ya ngono watu wanapeana kazi kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu anakatomba kizamani kabisa dah.!
Ingekuwa mimi hapo ningesimamia kucha mpaka nisikie harufu ya mishikaki.!
Shenzi kabisa ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa clip hii niloyoiona mtandaoni nadhani TCRA hawana budi kufafanua kwa haraka na haki itendeke.
 
Mwishoni nasikia tu

Mmmmmh....mmmmhh...mhhh

Daaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mchungaji katisha.
 
aisee ndo naiona sa hivi video. yule sio gwajima ni mchizi kafanana na gwajima. gwaji boy weee Sio kwa miuno feni ile
😂😂😂
 
Mwishoni nasikia tu

Mmmmmh....mmmmhh...mhhh

Daaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mchungaji katisha.
Kondoo rangi ya kondoa, wese la kutosha , mtumishi akawa anajililia tu . Aibu sana,
Ila mkuu yule kondoo hajui kukata mayuno yupo kama gogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom