Wakuu Amani iwe nanyi,
Nisiwachoshe wala msinichoshe,mnajua kinacho trend Kwa Siku ya Leo kwenye Social Media
Flash back alipotekwa Dr Ulimboka,kuna Mkenya alijisalimisha Kwa Askofu Gwajima na kukiri kumteka Dr Uli
Sakata la kutekwa kwa kiongozi wa Jumuiya ya madaktari, Dkt. Steven Ulimboka limechukua sura mpya, baada ya kuibuka taarifa nyingine zinazod...
Sasa juzi ime ripotiwa Kutekwa Kwa Kada wa CHADEMA Mdude huko Mbeya
Leo attention imekuwa diverted to Bishop Gwajima again
Bado nawaza
Karibu uwaze nami