Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Wakuu Amani iwe nanyi,

Nisiwachoshe wala msinichoshe,mnajua kinacho trend Kwa Siku ya Leo kwenye Social Media

Flash back alipotekwa Dr Ulimboka,kuna Mkenya alijisalimisha Kwa Askofu Gwajima na kukiri kumteka Dr Uli



Sasa juzi ime ripotiwa Kutekwa Kwa Kada wa CHADEMA Mdude huko Mbeya

Leo attention imekuwa diverted to Bishop Gwajima again

Bado nawaza
Karibu uwaze nami
hata kama gwajima anatumiwa na system ku divert matukio yanayolikumba taifa, sidhani kama amekubari kufanya jambo la kudhalilisha kama lile ambalo mwisho wa linaenda kutia doa reputation yake.
 
Naona maana mke wake na yeye Ana sura ngumu , mchungaji alijituma wakat anakojoa, na ukiwa una Sex na mtu unayemfeel ule mkojo unakua mtamu balaa Ndo alichokua anafeel gwajima yani aliamua kujilipua tu , chezeya K weye, Ila Leo wamejua kututia nyege kwa kweli , Na hii mvua Leo kila mtu atakua anaangalia tsmthulia ya gwajima🤣
Baba askofu kakojoa ndani. Ikute yeye ndo huwa anamzuia mkewe kujisoap soap. Yule mama ni mzuri sema tu yupo so original.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah
 
Kuna kipande cha video kikimuonyusha MTU ANAYEONEKANA kama ni mchungaji Gwajima akila tunda la Adam. Kwa mtazamo wangu naona hii 'kesi itakuwa ngumu kwa mambo mawili.

Kwanza, kuthibitisha kama huyo mtu kweli ni Gwajima. Siku hizi kuna teknolojia inayomuwezesha mtu kubandika sura ya mtu mwengine kwenye video clip.

Pili, hata kama ni yeye anaweza kusema alijirekodi kwa matumizi yake binafsi na si yeye aliyevujisha hiyo clip. Sidhani kama kuna sheria inayomkataza mtu kujirekodi na mpenzi wake kwa matumizi yake binafsi.

Ikumbukwe ni jukumu la anayeshitaki kutoa vielelezo vyenye mashiko ili kuweza kumtia mtuhumiwa hatiani.
Hakuna kesi hapo.Ni suala la maadili.Nguvu nyingi itumike kumtafuta mdude
 
Unataka kuniambia hadi sauti wamemuwekea kifupi kitendo cha yeye kukaa kimya bila tamko lolote ni kiashiria cha KUTAHAMAKI kilichotokea yule mtu mkubwa bwana angeshakanusha ili kuepuka kusambaa kwa habari hii
Mkuu soma post zangu kwq makini,issue ya sauti nimetoa kama mfano,mimi video chafu sijaiona ambacho nimekuwa naelezea ni technologia inaweza ikafanya kitu chochote hivyo zama hizi sio kama za kina Juma na Roza si kila unachoona unaamini hasa kwenye vitu recorded vinaweza kuwa manipulated.Nimetoa issue ya kiongozi wa Irani nikatolea mfano wa wasanii wenye uwezo wa kuiga sauti za watu,je wakitumia uwezo huo vibaya si itakuwa ni shida?
Sijasema ni yeye au siyo yeye kwani sijaipata video chafu ila walio iona kuna mambo wameandika wakionyesha ni fake sasa kama umeiona soma walichoandika na linganisha na ilivyo.
lakini kwa dunia ya sasa hata matifa kama Marekani wakipata video au audio ya mtu wanayemtafuta say the late Osama bin laden enzi zile huwa wanaverify uhalisi wa hiyo video,sasa yamkini niko naongea kwenye level za juu ambazo majority hamzielewi nami siwezi kuwalazimisha.Siko hapa kumtetea mhusika mimi naangalia ukweli na kuwafumbua watu wasichezewe kwa kmutumia technology.With technology mambo mengi yanawezekana.
Mkuu unajua picha zinatengenezwa na "pixels" picha mbili zilizounganishwa kwa software ila zilipigwa na kamera mbili tofauti inawezekana kuzijua kwani uwezo wa hizo kamera ni tofauti ukiwa na elimu na software za kufanya hivyo inawezekana.
Najaribu kuwaamusha waliolala,kwani mkuu magazeti ya udaku zile picha huwa wanafanya nini si wanziunga kisha watu wananunua kwa sababu ya heading kumbe hakuna kitu.Watu wana make money kwa kukosa elimu kwa watu.
Katika biblia Mungu anasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kusoma maarifa" maana yake yupo anayeweza kukuangamiza simply tu kwa sababu huna maarifa fulani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom