KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Anawabariki kwanzaNi gwajima anakula kondoo
Acha kumtetea
Bado Kakobe naye watamtengenezea yakeKuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.
Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.
Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.
Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .
Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaaView attachment 1090460
Tafuta mtaalamu wa hapa bongo ajaribu kuedit kama unadhani ni kazi rahisi..Gwajima mnamuonea tu hiyo video siyo yeye kabisa yaani ni kuangalia mara moja unatambua kabisa ni editing maana kidevu na shingo havilandani kabisa
Watu hatuelewi.. Hamna technology ya CGI hapa bongo ya kuweza kuedit hivyo.. Mzee baba kadakwa anakula utamu, he's human afterall.Kwa mtu mwenye akili timamu na mwenye kutazama vitu kwa makini wala huna haja ya kuumiza kichwa hiyo video ni editing kabisa tena ukiangalia mara moja tu unatambua hilo na ukiingalia zaidi na zaidi ndipo unazidi kuipuuza maradufu.
Kwa wewe mwenye nayo hebu angalia kidevu na shingo kwa uamakini.
Bint alikuwa anatoa sadaka tu hakuna lingineYawezekana hiyo ni namna mojawapo ya mchungaji wa kiume kumpatia mwamini wa kike baraka hasa katika ndoa yake hasa ya kupata watoto.
Pia yaweza kuwa ni sehemu ya mafunzo kwa vitendo yanayolenga kudumisha ndoa au kuendea kufunga ndoa.
Sems urushiwe clip umuone mzee baba mifugo anavyorusha thakoUONGO HAPO SIYO KITANDANI HAYO NI MAPAZIA KASIMAMA
Hata instagramu sijaona hiyo video, nimeona kajirekodi kifua tu basi, mi nikajua za kudinyana.......walimwenngu kazi sana
Do you think wakati anajirekodi aliwaza kwamba itaonwa na jamii? Si ilikuwa kwa ajili ya his personal archives. Sasa video imevuja na his true colors zimeonekana and yet people think the video is fake. Such leaks hutokea mara kibao, ukiweza Google THE FAPTAIN utaona. Na hakuna technology ya CGI hapa bongo ya kuweza kuedit sura ya mtu ambae sie yake kama iliyotumika na Paul Walker kwenye movie yake ya The Furious 7 baada ya yeye kufa. So I strongly believe that video is LEGIT! Na obvious mhusika atakataa just like the rest of his disciples.Yaani mtu achepuke afu aji record kwa mtu wa Kariba yake?? Asiangalie reputation yake katika jamii?? Shetani anawatumia vibaya wana JF,jichungeni ,,, lol
Do you think wakati anajirekodi aliwaza kwamba itaonwa na jamii? Si ilikuwa kwa ajili ya his personal archives. Sasa video imevuja na his true colors zimeonekana and yet people think the video is fake. Such leaks hutokea mara kibao, ukiweza Google THE FAPTAIN utaona. Na hakuna technology ya CGI hapa bongo ya kuweza kuedit sura ya mtu ambae sie yake kama iliyotumika na Paul Walker kwenye movie yake ya The Furious 7 baada ya yeye kufa. So I strongly believe that video is LEGIT! Na obvious mhusika atakataa just like the rest of his disciples.
Kwa mtu mwenye akili timamu na mwenye kutazama vitu kwa makini wala huna haja ya kuumiza kichwa hiyo video ni editing kabisa tena ukiangalia mara moja tu unatambua hilo na ukiingalia zaidi na zaidi ndipo unazidi kuipuuza maradufu.
Kwa wewe mwenye nayo hebu angalia kidevu na shingo kwa uamakini.
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.
Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.
Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.
Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .
Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaaView attachment 1090460
Kwa mtu mwenye akili timamu na mwenye kutazama vitu kwa makini wala huna haja ya kuumiza kichwa hiyo video ni editing kabisa tena ukiangalia mara moja tu unatambua hilo na ukiingalia zaidi na zaidi ndipo unazidi kuipuuza maradufu.
Kwa wewe mwenye nayo hebu angalia kidevu na shingo kwa uamakini.
Wahuni wanasema atakuwa mchaga huyo