Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Seriously jamii forum management mtu kama huyu mkimfungia maisha kwa kueneza habari za uongo na upotoshaji mkubwa haswa wakati huu ukizingatia tuko kwenye msiba mkubwa wa kitaifa ..mtapoteza nini kwa mfano
haujaziona hama hilo kanisa, akimaliza waumini wa kike ataanza wa kiume, kimbia