Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Tumia Id ya kike chief kuipata tofauti na hapo utasota sana, tangia asubuhi naitafuta bila mafanikio mijamaa ukiitumia Pm inakausha kama vile haikuoni vile, nimeamua niisubirie kule Xvideos niinyakue bila urasimu
Nenda insta mfollow mfungua code
 
View attachment 1091064

Kwa wale wafuatiliaji wanajua hii picha hapo juu ilivyoleta shida kimataifa lakini ilifanyiwa manipulation kutoka kwenye picha ya pili iliyoko katikati hapa chini kwenda ya mwishoni kulia.Wazee wa intelligence wanajua "you will always leave a trace" ila trace zinakuwa minimum kufuatana na elimu yako na utaalam wa jambo husika.

View attachment 1091069


Kwa wale msio na macho pambaneni,juu ya mkono wa kiongozi wa Irani kuna kifungo katika background ya mtu aliyekuwepo walio edit walisahau kuondoa hiyo kitu,wakaweka picha ya mwanamke ikaonekana mkuu anambusu mwanamke kinyuma na sheria za nchi yake.
Watalaa wa photography analysis waligundua,ninachotaka kusema hapa hizo video zikiwa available ukweli utajulikana na amabo mmeziona msiwe wepesi wa kuconclude kwamba ni za kweli wakati uwezo wa kuverify hamna.Hapa nasema hivyo kwa maana mchungaji Gwajina naamini ana maadui nadni na nje ya Tanzania.
Wazee wenye fani zao wakichunguza hiyi video watajua kama kuna mambo ya kubebanisha video moja juu ya nyingine kama ambavyo kwenye picha kuna mambo ya layers.
Watu wa uswazi kwa maana wasiojua haya mambo ya technologia acha waamini lakini hapa JF we go the extra mile.

Yani kwa Gwajiboy wala hakuhitaji uwe photography analyst. Ni yeye kabisaaaaa. Amechemsha ajirekebishe. Wengine pia tujifunze. Sio ujanja kujirecord kwenye mambo hayo. Fedheha tu. Na yeye kwa hadhi yake ya huko kanisani ndio kabisaaa kajifedhehesha
 
Mkuu kupiata hiyo video inabidi uwe na connection!
Bila hivyo endelea kufutilia masimulizi tu ya viuno na miguno ya baba askofu
Mkuu niamini nini kuwa imetengenezwa au ni halisi?
 
Mkuu niamini nini kuwa imetengenezwa au ni halisi?
Hili sina uhakika mkuu ila kwa mazingira inaonekana ni kitu real kabisa!
Ila hapa tunasemea sheria ya makosa ya mtandaoni ndio maana tunaogopa kutuma
 
Kwa mdada kama ule hata mie nampongeza mzee Gwajima toto la maana mazee kulitafuna sawa kabisa SALUTE MZEE GWAJIMA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom