Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo najua utatazama usiku mzima hadi ukorome.Hatimaye nimeipata ,Samaki[emoji3] [emoji3] jina lako safi sana najiitia vyovyote Leo Viatu,kesho samaki keshokutwa mabuti ya samaki
Kuelewa ni shida kwako soma tena nilichoandika!Acha ujinga wewe yani mchungaji au sheikh awe mwizi au jambazi halafu bado tuendelee kumfuata kwa sababu siyo yeye ni msahafu ?.hao waumini watakua wajinga waliopindukia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]yani kwa hizi comment kama hujaiona unaweza kuchanganyikiwa
Huu mchezo umeshachezwa halafu mechi ndo imeanzaIla kama tutatolewa kwenye reli na ufuska....bas wa tz tunapenda sana umbea
Mkuu nitumieaisee Iyo vidio nimeona wanamchafua tu jina. technologia wa dunia ya leo ni hatari fire chiiii ....Iyo vidio imeeditiwa hamna kitu hapo.
We jamaa msengee kweli sasa yani hasira zako kwasababu askofu kaanikwa wazi akito.mbana basi unataka tusiseme twende kwenye msiba. Si uende wewe ukatuwakilishe kwani lazima twende wote. Hapa nabii kaumbuliwa hata kama hutaki umechukia kunywa sumu ufe lakini tutasema tu na videos zipo ba kesho akaripoti central akatoe maelezo mjiandae kwenda kumuwekea dhamana. Pumbavu sana unatutolea puvu so ndo tumemtuma gwajima akatom.bane ajirekodi.?
Aisee!Nina yenyewe kabisa... Yani pilau tupu ila bishosti mvivu... Mzee baba fundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani ningekuwa ndo mimi badala yake. Kusema ukweli ile ni real sex "Gwajima yupo romantic ila mwanamke katuangusha hana ushirikiano kabisa.Kama nakuona ulivyotamani ile miuno, vipi ushawahi kuonja lakini? Maana mwenzio alikuwa anaugulia utamu tu
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.
Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.
Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.
Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .
Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaaView attachment 1090460
aisee Iyo vidio nimeona wanamchafua tu jina. technologia wa dunia ya leo ni hatari fire chiiii ....Iyo vidio imeeditiwa hamna kitu hapo.
Nina yenyewe kabisa... Yani pilau tupu ila bishosti mvivu... Mzee baba fundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikutegemea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji6][emoji6][emoji3]Nina yenyewe kabisa... Yani pilau tupu ila bishosti mvivu... Mzee baba fundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oh oh oh, umeiangalia??🙊🙊🙈🙈Ndyo mkuu