Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Mapadri tu ndio hawaruhusiwi kugegeda.

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Huyo ni padri anaenda kunyea debe mica sita! ngono


fullsizeoutput_2ed3.jpeg
 
malaika uko kazini. hongera. funga funga hiyo ianze na mitandao mingine huko
Seriously jamii forum management mtu kama huyu mkimfungia maisha kwa kueneza habari za uongo na upotoshaji mkubwa haswa wakati huu ukizingatia tuko kwenye msiba mkubwa wa kitaifa ..mtapoteza nini kwa mfano
 
Seriously jamii forum management mtu kama huyu mkimfungia maisha kwa kueneza habari za uongo na upotoshaji mkubwa haswa wakati huu ukizingatia tuko kwenye msiba mkubwa wa kitaifa ..mtapoteza nini kwa mfano
akifungiwa maisha si anafungua accnt nyingine au unadhani hana akili kama ww
 
Nami naitaka jamani mtu kwenye nayo ani pm fasts tuone wote tujue kweli Ni yeye
 
Nami naitaka jamani mtu kwenye nayo ani pm fasts tuone wote tujue kweli Ni yeye
Lala wewe... Kwani mmeambiwa Baba gwaji hana dyudyuu mpaka asigonganee..[emoji23][emoji23][emoji57]
 
Kwa mtu mwenye akili timamu na mwenye kutazama vitu kwa makini wala huna haja ya kuumiza kichwa hiyo video ni editing kabisa tena ukiangalia mara moja tu unatambua hilo na ukiingalia zaidi na zaidi ndipo unazidi kuipuuza maradufu.
Kwa wewe mwenye nayo hebu angalia kidevu na shingo kwa uamakini.
 
aisee ndo naiona sa hivi video. yule sio gwajima ni mchizi kafanana na gwajima. gwaji boy weee Sio kwa miuno feni ile
[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi mkuu mimi mwenyewe kabla sijaiona nilifikiri watu wanajadili vitu vya ukweli kumbe ni ungo uliotukuka,ni full editing
 
Nimepewa hii ishu jamaa alikuwa under shinikizo probably at gun point wait u will believe!! Kumeku.....
ha
 
Daaah kweli bao tamu Gwajiboy anakataa mauno afu mwishoni mmmmh mmmh!!! Hapo hata akitajiwa Kodi ya miaka mitatu lazima alipe tu...
Siyo GWAJIMA mkuu angalia kwa makini
 
Ntawaleteeni mrejesho ya kitakachozungumza maofisini kwa kesho.
Hasa kwenye ofisi za Serikali, ntapita pita kila ofisi nijue nini wanazungumza,
Kwa hiyo mjiandae , ntapita na hata msinijue.
 
Watanzania kuweni na akili.. hii video ya Gwajima haina lolote ..

Ni njama za kupotezea issue ya kijana aliye tekwa Mdude Chadema.

Kwanza video yenyewe sio ya ngono hata kidogo ila wamesambaza kama video ya ngono.

B
## bringbackmdudealive
FB_IMG_1548011667198.jpeg
 
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima

Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.

Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.

Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.


Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .

Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaaView attachment 1090460

Mbona hiyo picha kama imeungwa? Looks like edited video abnd not authentic
 
Watanzania iweni na akili.. hii video ya gwajima haina lolote .. ni njama za kupotezea issue ya kijana aliye tekwa mdude chadema.

Kwanza video yenyewe sio ya ngono hata kidogo ila wamesambaza kama video ya ngono.

B
## bringbackmdudealiveView attachment 1091292
Umetumwa au wewe ndo Gwajima? Kwa taarifa yako kesho amehitajika centrooooo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mdude chadema ametekwa! hajulikani alipo ila waliyemteka wanajulikana ni walewale walotaka kumuua mh lisu, walomteka Gwanda Anzory, waliomua kamanda mawazo na sasa wamemteka ndude chadma.
ukitafKari kwa makini sana mpango huu unaratibiwa na watu wanaoitwa intelligency lakini wenye upeo mdogo kuliko watototo walivyo.
1) muda wa tukio,
tukio lilitokea wakati wa msiba wa mzee mengi. kwanini walijua katika kipindi hiki macho na masikio ya watu yatakuwa kwenye msiba wa mengi.
kosa: watu walitoka kwenye msiba wa Ruge juzi tu hapa walishazoea shamrashamra za misiba ya watu maarufu na pia clouds sio Itv katika uhamasishaji na usikilizwaji. kwa hiyo wengi hawakutilia manani sana msiba.kwa sababu hii tukio la MDUDE LIKASHIKA CHATI KAMA KAWAIDA.
2) Kutumia msiba;
nitamwita bwana zero, bwana bashite na polepole ni kama.watu waliokuwa wamejipanga vyema kutumia msiba ule kufifisha suala la kutekwa kwa MDUDE CHADEMA. alipopewa nafasi ya kuzungumza bwana polepole hakutia siasa nyingi zaidi ya kutaja uanachama wa marehemu japo halikuwa suala muhimu pale.. ni kama aliyemtegea mwenzake ili aje amjibu mbowe na kubenea. alipokuja bwana zero Bashite alilazimika sasa kufanya yale yaliyopangwa .
a) kuwagawa watu kwa makabila mf.. wachaga hawatoi pesa kusaidia watu? je jni makabila gani hayo yanayotoa pesa kusaidia watu? hapa alitaka watu wajadili kauli yake badala ya issue ya MDUDE CHADEMA watu wakampuuza.
b) kumwambia Kubenea amlipe mzee mengi madeni yake bila kutaja hayo madeni pia ni mpango mwingine uliopangwa kupooza issue ya kujadili issue ya MDUDE CHADEMA kama vile alivyofanya bwana dhaifu kule bungeni kutaja madeni ya Mh. lema kana kwamba yeye ndiyo anamdai .
makonda/Bashite na kapilima: baada ya kuondoka kwa viongozi wa kitaifa makonda /bashite alihakikisha anashikana mkono na kusalimiana na kapilima DG TISS anayetembea na Jiwe popote pale! hapa alitaka kuwatisha watu na kuonesha kwamba hakuna baya lolote lilotendwa na kapilima kupitia idara yake.ujinga mwingine wa bwana Bashite ulijionesha hapa.
GWAJIMA NA FUMANIZI:
Huu ni mpango uliosukwa kipuuzi sana na haujafanikiwa kwa lolote . chora mstari kati ya mahusiano ya makonda na gwajima utagundua.
a) issue ya vyeti: gwajima aliikomalia kweli mpaka dogo zero akakimbilia kanisani kwenda kulia matokeo yake...
b) uvamizi wa kituo cha Clouds na yote yaliyoendlea pale ( Nape kaonekana na January, nq Zzto jana hilo tutalijadili muda mwingine)
Gwajima hapo ameingia kama muhusika wa kutengenezwa lengo likiwa lilelile kuwagawa watu. tuache kuandili ya MDUDE Tujadili ya Gwajima.
swali ni je kweli gwajima kafumaniwa? jibu ni uongo; kilichomo kwenye mitandao ni picha za kuunga gwajima anaonekana yupo kifua wazi na hayupo na mwanamke yeyete ( fumanizi gani lile upuuzi) wa gwajima na makonda?
je? gwajima na makonda wana ugonvi tena.? Jibu ni hapana hawa ni marafiki wakubwa kama makonda na shehe wa dar.. makonda kamtumia gwajima kuzima issue ya MDUDE CHADEMA
gwajima kafumaniwa na nani? lini na wapi? nani alikuwepo na alipewa shariti gani aliloshindwa litekeleza hadi hao wagoni wake wakarusha picha! Kwanini police waingie haraka haraka kwamba watamhoji gwajima kesho? je alifumaniwa na nani ? alimwenda polisi kulalamika? je yule ni mkewe huyo mlqlqmikaji?
Mwisho.
bwana makonda unajua alipo mdude chadema umtoe.mbinu unazotumia kufichwa ukweli ni za kitoto na kishamba mnoo.Arudi Mdude akiwa mzima, salama na pole kwa ujinga
Usiku mwema.
ndimi niliyekuwepo msibani kwa mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom