Ni kuwa Gwajima ana influence kubwa katika jimbo la Kawe, waumini wake wengi ni wakazi wa jimbo hilo. Mgombea ubunge wa jimbo hilo akiwa na support ya Gwajima ana nafasi kubwa ya kuwa mshindi. Halima Mdee kila mwaka huwa ana support ya askofu na hela za kampeni huwa anapewa.
Kuna binadamu analitaka hili jimbo, ameamua ku black mail Gwajima. Zile clip za video ziko 3, hiyo ya pili na ya tatu ni mbaya zaidi. Gwajima ameambiwa asipotoa ushirikiano kwa huyu binadamu na CCM kutwaa ubunge zile mbili zitaachiwa.
Walimtega kwa mtoto mzuri, kumbe wanajua weakness yake ni kupenda kula kondoo walionona.